Mwanaume unafanyiwa pedicure na manicure, una nyoa kiduku na kupata Vaseline mdomoni. Una begi ndani lina hand lotion, nail cutter, tissue, deodorant na perfume bila kusahau wallet yenye 5,000 ya nauli.
Wanaume wa mjini mmnishinda tabia. Mnakwenda bar mnashare chips ya ndovu na mwenzako.
Tusipangiane.......Mwanaume unafanyiwa pedicure na manicure, una nyoa kiduku na kupata Vaseline mdomoni. Una begi ndani lina hand lotion, nail cutter, tissue, deodorant na perfume bila kusahau wallet yenye 5,000 ya nauli.
Wanaume wa mjini mmnishinda tabia. Mnakwenda bar mnashare chips ya ndovu na mwenzako.
Do you,and let them do them.Mwanaume unafanyiwa pedicure na manicure, una nyoa kiduku na kupata Vaseline mdomoni. Una begi ndani lina hand lotion, nail cutter, tissue, deodorant na perfume bila kusahau wallet yenye 5,000 ya nauli.
Wanaume wa mjini mmnishinda tabia. Mnakwenda bar mnashare chips ya ndovu na mwenzako.
Sasa kwa taarifa yako wanaume wa Bukoba wala hawajui pedicure sijui madicure ni nini!!Hata Bukoba ni mjini ukiwa Kagera
Tena wakishapaka vaselin mdomoni wa kuongea wanalamba lips zaoDo you,and let them do them.
Tatizo mtu akikupaka Vaseline mdomoni wakati wewe hutaki.
Lakini kajipaka mwenyewe? Mtu mzima si mtoto?
Ukimsema unaweza kuwa unamnyanyapaa katika uhuru wake na haki zake za binadamu.
Hahahaha ngoja waje na mapovu ya kufa mtuMwanaume unafanyiwa pedicure na manicure, una nyoa kiduku na kupata Vaseline mdomoni. Una begi ndani lina hand lotion, nail cutter, tissue, deodorant na perfume bila kusahau wallet yenye 5,000 ya nauli.
Wanaume wa mjini mmnishinda tabia. Mnakwenda bar mnashare chips ya ndovu na mwenzako.