Wanaume wa Marekani mna nini?

Wanaume wa Marekani mna nini?

Nyani Ngabu, tumemiss mapicha ya States mkuu! Sumu, KARANJA 007, Masunga Maziku, mnamkumbuka huyu jamaa?


20160619_095525.jpg
20160612_111019.jpg
 
Ili nalo linahitaji kujadili....we rudi kijijini kwenu zen leta mrejesho hapa

Mie nilikuwa Reading Berkshire miaka ya 2004, I know that experience
 
Nyani Ngabu umenifanya muda wote nachungulia humu kwa ajili ya hizi picha, kweli wanawake ndio maana huwa wanalowa wakikutana na M-USA!
 
Mkuu huo mzimu sijui ulitokea wapi, kweli naweza kuamini kuna maiti huwa zinaibuka makaburini halafu zinakuja kusumbua watu uraiani!

Ila kwa ile dozi aliyopatiwa ni lazima angerudi makaburini alipotokea.
 
Back
Top Bottom