Wanaume wa Marekani mna nini?

Wanaume wa Marekani mna nini?

Unachokifanya we dogo sasa ni ushoga.. Hayo mambo yalishaisha naona wewe umeyachukulia personally mpaka unaita watu waendeleze ligi yenu ya kipuuzi..

Nyani amekuambia take a high road and chill

Hapa unamtafuta mamamko?
 
Alafu tigo kwao ndio mtandao mzuri sana na unakamata sana network..!!
 
Watu watashushuka kwamba wewe ni Hasheem Thabeet au sio hehehe

Hapana...umeenda mbali mno.

Nachosema ni kwamba, humu watu hujenga taswira za watu kulingana na jinsi ambavyo watu wanachangia.

Sasa, watu tuna backgrounds tofauti tofauti.

Binafsi nimeshaambiwa eti kulingana na mambo ambayo huwa ninayaandika humu basi ni lazima nitakuwa nimekula chumvi nyingi ya kutosha, yaani mzee flani hivi.

Watu hudiriki hata kudai eti nina miaka 60 na kwenda juu [umri wa mama yangu mzazi huo].

Jana tu kuna mtu kanijia PM eti anadai nina mtoto wa kike ambaye ana Master's degree na nina mke mwenye PhD.

Kweli, mtoto ninaye tena wa kike, lakini hata grade school hajamaliza. Ila mke mwenye PhD? Where the hell did that come from?

Basi watu wanadhani vitu niandikavyo humu [sijui hata ni vitu gani hasa] haviwezi kuandikwa na kijana. Ni lazima viandikwe na mtu mzima, mzee mzee hivi.

Ambacho wanashindwa kuelewa ni kwamba, watu tuna backgrounds tofauti sana humu. Mazingira niliyokulia ndiyo yaliyonijenga.

Watu tumeanza kusoma World Book Encyclopedia tukiwa shule ya vidudu, wamekuja akina Edward Seaga na Siaka Stevens tukabebwa kwenye mabega na washua tukaenda Nkrumah hall kuwasikiliza....hapo hata kusoma vizuri sijui....lakini ni mambo ambayo mpaka leo nayakumbuka.

Ndo maana nikizingumzia habari kama hizo watu wanadhani mimi ni kibabu.....hahahaaaaaaa.

Only if they knew....
 
"Watu tumeanza kusoma World Book Encyclopedia tukiwa shule ya vidudu, wamekuja akina Edward Seaga na Siaka Stevens tukabebwa kwenye mabega na washua tukaenda Nkrumah hall kuwasikiliza...." - Nyani Ngabu

Duh, lazima wakae. Sasa unakuta mtu mwingine, tangu ana umri wa miaka 2 anasikiliza tu taarabu za pwani, wapi na wapi!
 
Hahahaaa ndo maana yake.

Wengine usikute wapo humu na mi posts kibao lakini hata hawajui encyclopedia ni kitu gani.

Wakiona Ngabu kaandika 'encyclopedia' nao ndo wanapata msamiati mpya...wenye raghba ya kujua ni kitu gani labda ndo wataingia Google...wale wenye kuendekeza ujinga ndo watabaki imaginations zao za uzee wa Ngabu.

Na hapo nimekuwa modest tu...ningeweza kabisa kudondosha Reader's Digest...CIA World Fact Book, ku hang out na akina Prof. Terrence Ranger, Henry Slater...huku nikichezea Lego [hivi watu humu wanajua hata Lego ni kitu gani] na wao waki debate na mdingi.....
 
Achana nao, Lego watakuambia maana yake ni safari larger, kwa kiswahili, na wanavyowaza kitwanga muda wote, mimi wala sisemi!
 
Nyani Ngabu, tumemiss mapicha ya States mkuu! Sumu, KARANJA 007, Masunga Maziku, mnamkumbuka huyu jamaa?

Haya mwana....here you go!

20160619_092315.jpg
20160608_173132.jpg
 
Back
Top Bottom