Wanaume wa Marekani mna nini?

Wanaume wa Marekani mna nini?

mnamiliki nini huko USA, Isije ukawa busy for nothing, nyumba umepanga, gari ya mkopo, unaringishia opicha nzuri ulizopiga kwenye majengo ya wenye helaaaaa, njoo ulime manansi huku kwetu, umiliki ardhi, usafiri nyumba na kila kitu unachotamani
Ukipendacho wewe sicho wanachokipenda wenzio

Plans zako si lazima zishabiiane na za wengine

Acha waishi kulingana na interests zao na wewe baki na mtazamo wako.

Kwa kufanya hivyo inaleta logic sana.
 
mnamiliki nini huko USA, Isije ukawa busy for nothing, nyumba umepanga, gari ya mkopo, unaringishia opicha nzuri ulizopiga kwenye majengo ya wenye helaaaaa, njoo ulime manansi huku kwetu, umiliki ardhi, usafiri nyumba na kila kitu unachotamani
Huko kuna Malaria,kipindupindu,mabusha na magonjwa mengiii yanayoweza tokomezwa

Kwanza tokomezeni Malaria bana ndiyo tuje kumiliki ardhi!

Ahahaha inachukua masaa 6 toka Bahari Beach hadi Kariakoo ukisafiri mchana ahahaha
 
Back
Top Bottom