Wanaume wa Marekani mna nini?


Hahahahaha hiyo inaitwa sucker punch.. Jamaa anatafuta marafiki JF?? He must be really boring in real life hehehe
 

Watu watashushuka kwamba wewe ni Hasheem Thabeet au sio hehehe
 
Pia imeandikwa msiache kukusanyika kwenye nyumba za ibada kama ilivo desturi
Hapo ndipo utakapojua bibkia ni kamba tupu.

It is not what is written, it us how you use it.

Hapa utaambiwa "Haraka haraka haina baraka", pale utaambiwa "Ngoja ngoja huumiza matumbo".

Kama unataka muongozo kwenye maandiko tu utabaki hujui cha kufuata.

The book is all over the place.
 
Ha haa huishiwi utetezi wewe msukuma. Hebu njoo tuimbe mapambio bhana
 
We ni kiboko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…