KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Sio mchezo,jukwaa linaweza kufungwa,hata hivyo naomba u google utapata hiyo habari.Mkuu hebu kisimulie.
Sio mchezo,jukwaa linaweza kufungwa,hata hivyo naomba u google utapata hiyo habari.Mkuu hebu kisimulie.
Basi nitakununulia pipi usikonde.He hee nilale mie.... Mtanikondesha bure mtoto wa mwanaume mwenzenu
Hahahaa. Declaration of defeat, I am humbled. Next time be careful in choosing your battle #womenofsubstancerock.
StakiBasi nitakununulia pipi usikonde.
Mkuu mimi nina wasiwasi kama ni mwanamke, pindi nitakapojiridhisha na hilo, mission yangu itaendelea, katika database yangu wasichana wote tuliokwaruzana tena vibaya mno ndio walikuja kuwa marafiki. Sijawahi kuinua mikono.
Sawa,lakini kumbuka Nungunungu ana miba mikali iliochomoza na huwa analetewa zawadi na midume na anaipokea na hatimae wanajilia vyao.Staki
Hapa ndo unahesabu umekwaruzana? Jaribu kukwaruzana nikupe kichambo cha haki kama hujafuta kauli yako ... 'wote niliokuwaruzana tena vibaya mno ndio walikuja kuwa marafiki'.
Kwa taarifa yako wengine JF tunakuja kupata news and knowledge, sio marafiki. So just you know.
Hata hotelini watu huenda kula chakula na kujikuta wanakula na cone ice cream kama desert ili hali hawakupanga hivyo.Hauna means za kuthibitisha jinsi yangu.
Halafu, hapa ndo unahesabu umekwaruzana? Jaribu kukwaruzana nikupe kichambo cha haki kama hujafuta kauli yako ... 'wote niliokuwaruzana tena vibaya mno ndio walikuja kuwa marafiki'.
Kwa taarifa yako wengine JF tunakuja kupata news and knowledge, sio marafiki. So just you know.
Hebu tuoane Valentina. Tuache mizaha, tumekua unajua na muda unakimbia!
Nyie vijana usiku mwema na kwaherini. Nitamiss vituko vyenu....Sawa,lakini kumbuka Nungunungu ana miba mikali iliochomoza na huwa analetewa zawadi na midume na anaipokea na hatimae wanajilia vyao.
Huwezi kunipa kichambo, huna huo uwezo. Haujulikani jinsia yako kwa sasa, huwa sifanyi kazi z hasara.
Ndiyo wazuri nyie, pamba nyepesiiHahahaa. Declaration of defeat, I am humbled. Next time be careful in choosing your battle #womenofsubstancerock.
Hata hotelini watu huenda kula chakula na kujikuta wanakula na cone ice cream kama desert ili hali hawakupanga hivyo.
Usiku bado haujawa mwingi,haraka ya nini?,au mzee yupo leo? au umeitwa chumbani na shemeji nini,niambie ukweli nikupe trick za kumpagawisha mpaka akuandikie hiyo nyumba urithi au vipi?Nyie vijana usiku mwema na kwaherini. Nitamiss vituko vyenu....
Ndiyo wazuri nyie, pamba nyepesii
Mimi huwa nadandia mbele na nyuma pia.Naona unataka kununua kesi. Be careful... kudandia bandwagon kwa mbele kuna madhila.