Wanaume wa kuogopa

Wanaume wa kuogopa

mimi ai

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
89
Reaction score
30
Umri miaka 35 kwenda juu hajawai kuoa ,ana watoto mama mbalimbali(hawezi kutulia na wewe)
ndo kamaliza chuo hana kazi na wewe una kazi(hapo anapooza machungu ya maisha hakuna love)
anajiona superstar (ni mjinga sifa zitakumaliza)
anakupipu pibu ata kama mnatumia mtandao mmoja(bahili)
ni mchoyo(ukitoka nae anaomba menyu na kukagua kila kitu sh ngapi in advance then ananunua vya bei rahisi)
 
this supposed to be a status update somewhere FB,hi5,digg,tagged whereverrrr!!!
 
naona umeandika ukiwa na mahasira yako kakupitia nini halafu shaaaaaa kama kawa maana na wewe uliingia kichwa kichwa anakudanganya ukakubali unadhani ni millionaire
mimi ni rough road sipitiwi na magari nyanya
 
ukisikia paaa..............
ndugu una mauzoefu ya kutosha, vidume vyote vitano vimekutenda duu!
 
mimi ni rough road sipitiwi na magari nyanya

ohooooo Rough road tena wa eneo gani Mto wa mbu ama Babati maana hawa ni so hakuna haja ya kutongoza ni kuwambia tu upo room number ngapi. dah we balaa
 
hahaaaaaaaaa unaloooooooooo!!!!!!!!chezea wanaume weye!! umesahau wanaume tunakuangalia umekaaje kaaje kama unapoz za kimalayamalaya unategemea nn..haujui kuongea na mwanamme upo kishankupekupe..tunakupig acha juu tunasepa...always mwanamke anayejieshmu na kujitunza even bad boyz huwa wanamuogopa...!!we reserve her for marriage!!
 
ohooooo Rough road tena wa eneo gani Mto wa mbu ama Babati maana hawa ni so hakuna haja ya kutongoza ni kuwambia tu upo room number ngapi. dah we balaa
Hahahah! Unatafuta ugomvi mkuu.
 
Back
Top Bottom