Wanaume wa kikristo wanaongoza kwa michepuko!

Status
Not open for further replies.
Ipi heri kuoa wake wengi wanaojulikana au kuwa na michepuko kisa dini inataka uoe mke mmoja?

Wanaume wa kikristo mnatudanganya mmeao mke mmoja lkn kumbe mna wake wa siri zaid ya 20!

Heri mje huku kwetu unaoa mpaka wake wa nne kwa raha zako!

Mosi:- Duniani kuna dini nyingi sana za ku opt.

Pili:- Hakuna mahali imethibitishwa kwamba kwa Mwanaume kua na Wake wanne pekee kwamba inapunguza kua na mahusiano na wanawake wengine nje ya hao wanne.

Tatu:- Kama una hamu ya kuolewa namba mbili na Mkristo. Sema kabisa usizunguke mbuyu.

Nne:- Dini ni zaidi ya kuoa na kuolewa. Kubadili imani kwasababu moja tu ya kuoa angali hukubaliani na mambo mengine mengi ndani ya dini ni jambo tata sana.

Tano:- Hakuna mahali panaonyesha kiongozi wako wa dini alitosheka na wanawake wanne....

Sita:- Mambo ya dini huyajui, ndio maana yanakupa mihemuko. Hakika ukiyajua, utahama dini hata leo, tena kwa hasira kali sana....
 
Halafu michepuko yao huwa ni mabinti wa kiislamu asilimia kubwa...
Kweli mkuu, hizi khijabu zina mambo kweli...hawajui kuzuia yan wao wanafundishwa nyapu ni zawadi kwa mwanamme, nimewahi kutokea wa4 na wote walitoa, na ni wapole kweli hawajui kuomba hata hela yan unagonga bure tu!
 
Unaonekana unapenda vya bure! Lkn ulitumia kinga mkuu?
 
Sidhani kama kuna correlation between imani ya mtu na mambo ya kuchepuka, hiyo ni personal attitude ya mtu
 
Ipi heri kuoa wake wengi wanaojulikana au kuwa na michepuko kisa dini inataka uoe mke mmoja?

Wanaume wa kikristo mnatudanganya mmeao mke mmoja lkn kumbe mna wake wa siri zaid ya 20!

Heri mje huku kwetu unaoa mpaka wake wa nne kwa raha zako!
zainaby unakosea unaposema wanaume wa kikristo, maana yake unawajumlisha wote na si kweli rekebisha kwanzaa neno hilo kabla hatuja kujibu, naomba uwe more specific kwa idadi maana wengine tayari umetukosea kwa kusema wanaume hata mimi ni mwanaume maana yake ni miongoni na si kweli kwangu mimi.
 
Eti mnadanganywa!! Ukweli ndio huo ndoa takatifu kwetu ni mke mmoja tuu wala hawakudanganyi.

Vipi wewe walishawahi kukuchepukia wangapi?
 
Ipi heri kuoa wake wengi wanaojulikana au kuwa na michepuko kisa dini inataka uoe mke mmoja?

Wanaume wa kikristo mnatudanganya mmeao mke mmoja lkn kumbe mna wake wa siri zaid ya 20!

Heri mje huku kwetu unaoa mpaka wake wa nne kwa raha zako!
Kuna hoja humu huwa sielewi wanaozitoa huwa wametoka kufanya tendo gani!! Anyway, 20 - 4 = 16. Kwa hiyo wakija "huko kwenu" watakuwa na wanawake 16.

Halafu huwa simwelewi mwanamke anayetetea jambo hili!!
 
Hatutaki
 
Nimekupenda bure mrembo, nataka nije kwenu nitoe mahari ya wanne.
 
Hata hao waliooa wake wanne sio wote waaminifu katika ndoa, wengine wanachepuka tu
 
tatizo si kuwa umeruhusiwa kuoa wangapi tatizo ni moyo.hata walio ruhusiwa kwa mujubu wa imani yao bado wana michepuko.nikupe pole sana kwa mtazamo usio sahihi
 
Kuna hoja humu huwa sielewi wanaozitoa huwa wametoka kufanya tendo gani!! Anyway, 20 - 4 = 16. Kwa hiyo wakija "huko kwenu" watakuwa na wanawake 16.

Halafu huwa simwelewi mwanamke anayetetea jambo hili!!
Ukiwa na wanne huwezi kuwa na tamaa tena utakuwa na aina zote
 
Ipi heri kuoa wake wengi wanaojulikana au kuwa na michepuko kisa dini inataka uoe mke mmoja?

Wanaume wa kikristo mnatudanganya mmeao mke mmoja lkn kumbe mna wake wa siri zaid ya 20!

Heri mje huku kwetu unaoa mpaka wake wa nne kwa raha zako!

Bora kuwa na mchepuko mmoja kuliko kuwa na wake zaidi ya wawili na kusingizia kuwa dini inakuruhusu. Kumbuka, mwanamme mwenye wake zaidi ya mmoja pia anakuwa na michepuko kule kuoa mke mwingine ni kisingizio tu.
 
tatizo si kuwa umeruhusiwa kuoa wangapi tatizo ni moyo.hata walio ruhusiwa kwa mujubu wa imani yao bado wana michepuko.nikupe pole sana kwa mtazamo usio sahihi
Pole inakuhusu mwenyewe, kuoa wake wanne kwa muislam ni suna acha upotoshaji wako
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom