Wanaume wa kikristo wanaongoza kwa michepuko!

Wanaume wa kikristo wanaongoza kwa michepuko!

Status
Not open for further replies.
Uislam unakataza matusi. Ukimtukana Asiye Muislamu unapata dhambi, ukimtukana Muislamu mwenzio unakuwa kafir.

Siku njema.
Hapo umejitahidi kunyoosha japo bado unajichanganya lkn sikuhukumu sana maana ndipo ufahamu wako ulipoishia, heri uje kwa Yesu ndiyo dawa na salama ya roho yako
 
Hapo umejitahidi kunyoosha japo bado unajichanganya lkn sikuhukumu sana maana ndipo ufahamu wako ulipoishia, heri uje kwa Yesu ndiyo dawa na salama ya roho yako
Baki na Yesu wako niache na uislam Wangu..

Sipend kudharau dini ya mtu na Huwa sipendi yangu ikidharauliwa kila mtu abaki anachoamini.
 
unamtazamo mzuri ila njia ulopitia si nzuri lazima ujitathimini then ujue namna ya kuwasilisha mada, pole kwa kuleta udini katika karne hii
 
Baki na Yesu wako niache na uislam Wangu..

Sipend kudharau dini ya mtu na Huwa sipendi yangu ikidharauliwa kila mtu abaki anachoamini.
Mbona huyo mwenzio analeta dharau? Wokovu ni kwa njia ya msalaba huyu marehemu amewapotosha sana, hakuna salama huko ndiyo maana aliwaachia maagizo mmswalie maana hajui anakwenda wapi. lkn Yesu wetu amekwenda kuandaaa makao akirudi tuna sepa zetu, huko alipo anatuombea tu, lkn wenu ameshaoza long time
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom