Kuoa wanawake wanne,tayari hiyo ni michepuko, alafu usitumie dini kutukana watu wa dini flani. Yenu tunayaona ila tunanyamaza tu.waislamu wakike wanaongoza kwa kuchepuka kwa sababu, hakuna mwanaume anayeweza kukidhi hamu ya wake wanne.tunawasaidiga hapa mtaani sana.Ipi heri kuoa wake wengi wanaojulikana au kuwa na michepuko kisa dini inataka uoe mke mmoja?
Wanaume wa kikristo mnatudanganya mmeao mke mmoja lkn kumbe mna wake wa siri zaid ya 20!
Heri mje huku kwetu unaoa mpaka wake wa nne kwa raha zako!
Futa kauli na tutake radhi tafadhali..Ipi heri kuoa wake wengi wanaojulikana au kuwa na michepuko kisa dini inataka uoe mke mmoja?
Wanaume wa kikristo mnatudanganya mmeao mke mmoja lkn kumbe mna wake wa siri zaid ya 20!
Heri mje huku kwetu unaoa mpaka wake wa nne kwa raha zako!
Pole my friend,unaweza kuwa na 4,bdo ukatoka,kinachoweza kuzuia,ni dhamira uliyonayo.Walioa wake zaidi ya mmoja michepuko yao ni nadra ukilinganisha na wa mke mmoja. Ukihalalisha ni vizuri kwani mmoja akiwa na tatizo unaenda kwa mwingine wa halali. Mkristu unaenda kwa kuibia, ni uuuuuungwana!!
Wa kumuhurumia tu huyu mkuuFuta kauli na tutake radhi tafadhali..
Dini yenyewe haijui huyu achana naeAcha kudhalilisha uislam.
OkSiyo kweli
Kwahiyo kumtukana mkristo inaruhusiwa? Au nawewe ndo wale wale wanaofunika akili zao?الْمُسْلِمِ فُسُوقٌ وَقِتَالُهُ كُفْرٌ)) متفق عليه
Imepokelewa kutoka kwa bin Mas’uwd (رضي الله عنه) ambaye amesema: “Mtume (صلى الله عليه وآله وسلم ) amesema: ((Kumtukana Muislamu ni ufasiki, na kupigana naye ni ukafiri))
Nikutakie siku njema
Masalia yaoHawa ndio wale wa KIBITI
Huenda ndivyo dini yenu inavyotaka maana mafundisho yenu yanatofautiana kidgo sana na ibilisiDini yenyewe haijui huyu achana nae
Wapi nilipoweka kuwatukana wa kristo inaruhusiwaKwahiyo kumtukana mkristo inaruhusiwa? Au nawewe ndo wale wale wanaofunika akili zao?
Hapo uliposema kumtukana muislam mwenzio ni ufasiki inaamana kutukana wasio waslam wenzio ni ruksa!Wapi nilipoweka kuwatukana wa kristo inaruhusiwa
Ipi heri kuoa wake wengi wanaojulikana au kuwa na michepuko kisa dini inataka uoe mke mmoja?
Wanaume wa kikristo mnatudanganya mmeao mke mmoja lkn kumbe mna wake wa siri zaid ya 20!
Heri mje huku kwetu unaoa mpaka wake wa nne kwa raha zako![/QUOTka
kama dini ndivyo inavyo sema, basi iyo ni dini ya michepuko!
Uislam unakataza matusi. Ukimtukana Asiye Muislamu unapata dhambi, ukimtukana Muislamu mwenzio unakuwa kafir.Hapo uliposema kumtukana muislam mwenzio ni ufasiki inaamana kutukana wasio waslam wenzio ni ruksa!