Wanaume wa kichaga

Kama ndio ww kwenye hio picha ulioweka basi ni haki yake ya halali kabxa kupooza mpaka hapo mtakapoachana!!! N uxhauri tu
Kajifunze kwanza kuandika, yaani wewe umepooza hadi uandishi sipati picha kwingine ukoje. Utakuwa ni pooza la kiwango cha fly over wewe. Pesa huna,mapenzi hujui na kuandika pia hujuiπŸ™† sijui utakuwa mgeni wa nani.
 
Sidhani Kama mtoa mada anapenda ngono kupita kiasi yaani ni vile hampo romantic hamsisimui. Hata kama hampendi ngono sex inahitaji kuwe na moto flani hivi Sasa nyie mmpepoaa.
 
Wachaga kwa wachaga ndio inanoga. And ofcoz iko reccomended hivyo.
Ni kama wahindi kwa wahindi.
Hata dada zao wanawakimbia siku hizi maana wamegundua walichokuwa wanakikosa for so long.
 

Sasa mbona hadi dada zenu wanasema mmepooza?
Kusema mnayajua mapenzi sidhani kama unajua unachomaanisha, hayo mapenzi ndio ninayoyaongelea hapa na nikasema mmepooza kuanzia sebuleni hadi chumbani.

Kusema hampendi ngono ni utetezi, ngono mnapenda sana tu ila hamyajui mapenzi kwa ujumla wake.
 
Kumbe kuzaana ndio kujua mapenzi?
 
Sidhani Kama mtoa mada anapenda ngono kupita kiasi yaani ni vile hampo romantic hamsisimui. Hata kama hampendi ngono sex inahitaji kuwe na moto flani hivi Sasa nyie mmpepoaa.
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
Hiki ndicho nilichomaanisha, nashukuru kwa kunielewa.
 
Kwenye utafutaji kweli wanajitahidi, ila huu upande mwingine wanafanya maisha yanakuwa magumu kweli. Huyu wangu kuna wakati namuangaliaaa hata simmalizi, yes he is handsome ila thats all😀😀

Akina Manka sijui wanayawezaje haya.
Kwani we ni kabila gani mkuu...???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…