Wanaume wa kichaga

Kweli kabisa, bado namtafutia angle nzuri.

Iko hivi

Huwezi kupata mtu mwenye sifa unazotaka kwa 100% Kuna vingine unatakiwa ku compromise tu. Hata ukimpata huyo mwngine lazima kuatakuwa na mapungufu tu.

Tahadhari: Usije kumpiga chini uje ukutane na kimeo cha haja utamani kurudi.
 
Watafuta hela hao unatakiwa kumpenda hivyo hivyo.Culture yao haiwafanyi wawe romantic hawana unyago affairs hawapitii mafundisho ya kijamii ambayo yangeweza kuwafanya kuwa bora kwenye hiyo fani.So inabidi usiangalie udhaifu huo mkubali jinsi alivyo.
I see!
Huyu namvumilia tu maana namalizia ujenzi wa nyumba yangu niachane nae maana sidhani if i can spend the rest of my life with someone like this. Nitamchoka mapema sana.
 
Mwanamke asipokuwa na akili kama wewe sehemu za siri ndio zinaumia.
Hakikisha unaonja za makabila yote uje na uzi mwingine uelezee ni kabila gani lipo vizuri.
Mwanaume asipokuwa na akili kama wewe unajua ni sehemu zipi zinaumia? Endelea tu ukifikiri ni sifa.
 
Umesema wanapenda kukaa baa na blaa blaa nyingine... Nikakuuliza unataka kushinda nao nyumbani?
Wakitaka kutukasirisha wagusie mambo ya bar....

Yani niache kunywa nikakae nae nyumban eti kucheza cheza WTF.....

Watumie vibomba[emoji23][emoji23][emoji23] Miss Natafuta
 
Hili jibu lisome upya, ndilo ulilopaswa kutafakari kabla ya kukukurupuka embecile.
Stop hijacking and selling your nonsenses.... Your aim already crafted... Dual control.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…