Muache,tafuta unaeona anakufaa akuoe dada.Habari wadau wa MMU.
Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them?
Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu namana ya kumtoka maana sienjoy kuwa nae.
Kabla yake niliwahi pia kuwa na mwanaume mmoja wa Old Moshi, it was the same. They are not romantic,viburi na hata hawanogi kuwa nao yaani. Hawajachangamka kuanzia sebuleni hadi chumbani wamepooza "kweri kweri".
Nyie mloolewa au mnaodate hawa watu mnawezaje maana mie naona its not my cup of coffee at all.
Kwenye utafutaji kweli wanajitahidi, ila huu upande mwingine wanafanya maisha yanakuwa magumu kweli. Huyu wangu kuna wakati namuangaliaaa hata simmalizi, yes he is handsome ila thats all😤😤
Kuulizia ulizia hapa na pale story zikawa ni hizo hizo tu.
Akina Manka sijui wanayawezaje haya.
Yes wachaga wanajal family sana,bora kuolewa na mtu hayuko romantic ila majukumu yake kama baba na kichwa cha family anayajua na anayabeba vemaIla jamani wanajua sana kujali familia zao, kwa Hilo nawapongeza. Mimi ni mchaga lkn haijawahi tokea nikadate mchaga mwenzangu
Aaaah hizo si...au basiNaona kwenye avatar umeamua kunionyesha kwamba...! Au basiiii
Hatuna wamarangu wajinga wajinga hivi mkuuProbably huyu atakuwa mmarangu.. ndo wanapenda vitu hiv... kule kibosho au rombo au machame wanapenda mwanaume awe rough... yaan uwe mmbabeee ...
ndio ndio mkuu, hiki kichwa chako naona kimejaa madini ya kutosha kwa medula oblongata; naamini utanivusha salama.Milango ya pepo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo sifa zinatosha ulitaka awe sifa zaidi ya hizo hapo, hayo mengine unamtengeza tu sisi tunabdilika haraka tukinogewa na mapenzi .Na mwanaume kama anajali familia yako hiyo ndiyo nguzo sasa ya furaha what else do you need, sasa nyie dada zetu mnataka kila kitu sisi sio malaika as if nyie pia ni wakamilifu,nyie mnapungufu yenu ila mnasahau yenuMy sis unachopitia ni ukweli,Mimi nilipiga goti nikaomba Mungu sitaki tena mchaga maana ilikuwa ni serial dating ya chagas ilikuwa inatokea tu
Wakaka wazuri kwelikweli aisee hatarii lakini mambo mengine kidogo wanapwaya
Labda huyu mchaga mmoja wa old moshi alikaa nje kwa muda huyu alikuwa na uzungu uzungu wa kuletewa maua,visuprise,outings,kubebewa handbag etc lakini bado alikuwa na uchaga
Mchaga ni mchaga ila nawasifu wanajali familia zao[emoji1376][emoji1376]
Nataka nijue hizo r r hazijapooza?😂😂😂Yani anataka wa motomoto
Kwa kweli ni changamoto hawa watu, ukali na viburi, ila ukiombe kitu fasta huduma imefikaHabari wadau wa MMU.
Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them?
Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu namana ya kumtoka maana sienjoy kuwa nae.
Kabla yake niliwahi pia kuwa na mwanaume mmoja wa Old Moshi, it was the same. They are not romantic,viburi na hata hawanogi kuwa nao yaani. Hawajachangamka kuanzia sebuleni hadi chumbani wamepooza "kweri kweri".
Nyie mloolewa au mnaodate hawa watu mnawezaje maana mie naona its not my cup of coffee at all.
Kwenye utafutaji kweli wanajitahidi, ila huu upande mwingine wanafanya maisha yanakuwa magumu kweli. Huyu wangu kuna wakati namuangaliaaa hata simmalizi, yes he is handsome ila thats all😤😤
Kuulizia ulizia hapa na pale story zikawa ni hizo hizo tu.
Akina Manka sijui wanayawezaje haya.
Hii comment imefanya nitamani ingekuwa ya kwanza kule kila mtu aone.Unajua ili useme chakula hiki ni kibaya ni lazima umeshawahi kula chakula kitamu. Hauwezi kusema chakula ni kibaya huku haujui kitamu kipoje.
Hauwezi kusema mwanaume huyu amepooza, au hajui mapenzi kama haujawahi kuwa kwenye mahusiano na watu kadhaa ukaona utofauti.
Wanaoweza ni kwa sababu wanaume wao hao hao ndiyo waliowafundisha mapenzi yaani wameanza nao na wanaendelea nao. Huwa hawaonji nje ili kufananisha kama ladha ni tofauti au lah ndiyo maana tunaweza.
Wasio weza ni wale ambao wameshaonja ladha mbali mbali. Ni sawa na mtu anasema mtu ana kibamia, hawezi kusema hivyo kama hajawahi kukutana na kubwa. Lakini tungekuwa tunatulia kwenye mahusiano haya mambo ya kufananisha fananisha na kugundua kasoro za mwenzako yasingekuwepo.
Hizo sifa zinatosha ulitaka awe sifa zaidi ya hizo hapo, hayo mengine unamtengeza tu sisi tunabdilika haraka tukinogewa na mapenzi .Na mwanaume kama anajali familia yako hiyo ndiyo nguzo sasa ya furaha what else do you need, sasa nyie dada zetu mnataka kila kitu sisi sio malaika as if nyie pia ni wakamilifu,nyie mnapungufu yenu ila mnasahau yenu
😆😆😆 we ni mlimbwende wangu, huwezi kukata miti akati mm nipo waridi wangu.Mimi pia si mkata miti bebi
[emoji23][emoji23]Hii comment imefanya nitamani ingekuwa ya kwanza kule kila mtu aone.
Una akili sana. Umalaya unafanya watu wasiridhike na wanaume wao.
Mtu ana uzoefu wanaume zaidi ya kumi anajua kila ladha.
Very right, ila kenge zitashupaza shingo juu ya hili.Hii comment imefanya nitamani ingekuwa ya kwanza kule kila mtu aone.
Una akili sana. Umalaya unafanya watu wasiridhike na wanaume wao.
Mtu ana uzoefu wanaume zaidi ya kumi anajua kila ladha.
True story indeed😂😂😂Unajua ili useme chakula hiki ni kibaya ni lazima umeshawahi kula chakula kitamu. Hauwezi kusema chakula ni kibaya huku haujui kitamu kipoje.
Hauwezi kusema mwanaume huyu amepooza, au hajui mapenzi kama haujawahi kuwa kwenye mahusiano na watu kadhaa ukaona utofauti.
Wanaoweza ni kwa sababu wanaume wao hao hao ndiyo waliowafundisha mapenzi yaani wameanza nao na wanaendelea nao. Huwa hawaonji nje ili kufananisha kama ladha ni tofauti au lah ndiyo maana tunaweza.
Wasio weza ni wale ambao wameshaonja ladha mbali mbali. Ni sawa na mtu anasema mtu ana kibamia, hawezi kusema hivyo kama hajawahi kukutana na kubwa. Lakini tungekuwa tunatulia kwenye mahusiano haya mambo ya kufananisha fananisha na kugundua kasoro za mwenzako yasingekuwepo.
mbena wa iringa town, ila kwa sasa nipo darMbena wa Dasalaam?
Romantic huku unalalia chips mayai?
Najivunia kuwa mchaga. Si rahisi kumpata mwenye vyote, mtafute marriage counselor anaweza kuwapa mwongozo. Growing up with Chaga parents or relatives walitilia mkazo kutafuta pesa and financial education. 'Sex education' remains a taboo and is hardly discussed. As a Chaga man, I am still struggling with that mentality. Make wise and informed decisions. Hayo ndo maoni yangu.Habari wadau wa MMU.
Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them?
Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu namana ya kumtoka maana sienjoy kuwa nae.
Kabla yake niliwahi pia kuwa na mwanaume mmoja wa Old Moshi, it was the same. They are not romantic,viburi na hata hawanogi kuwa nao yaani. Hawajachangamka kuanzia sebuleni hadi chumbani wamepooza "kweri kweri".
Nyie mloolewa au mnaodate hawa watu mnawezaje maana mie naona its not my cup of coffee at all.
Kwenye utafutaji kweli wanajitahidi, ila huu upande mwingine wanafanya maisha yanakuwa magumu kweli. Huyu wangu kuna wakati namuangaliaaa hata simmalizi, yes he is handsome ila thats all😤😤
Kuulizia ulizia hapa na pale story zikawa ni hizo hizo tu.
Akina Manka sijui wanayawezaje haya.
Ukishaona demu umemuoa sio bikra changamoto kama hizi hazikwepeki. Unagegeda kumbe mtu anawaza mb.o ya Mzee toboa ilikuwa kubwa zaidi hii ni ndogo. Mzee toboa alikuwa ananitekenya huku na huku huyu hafanyi.Very right, ila kenge zitashupaza shingo juu ya hili.