Wanaume wa kichaga

Mkuu upoooo?????🤣🤣🤣🤣
 
Kujibizana na machoko ni kazi sana, vinajichekesha chekesha tu. Umalaya umeumaliza fb umeamia jf sasa.

Nasubiri jibu.
Yaani hivi vidudu wawatu vinawaita wenzao malaya sijui wananguvu gani kila saa wee malaya we malaya ikute hata yeye ni shoga eti na anahasira watu wakipost na niwadada waliopewa K nawao wanatamani na hawana hii nikazi ndio maana mi nimeamua kukaa kimya.
Uvelia pole ndio jamii forum mpya ya vijidudu watu.
 
Wako brain washed hao, wanafikiri kila mwanamke lazima afanyiwe kila kitu na mwanaume. Nyumba kitu gani mbona mambo madogo tu hayo. Kama wao wanaweza why sisi tusiweze?
Ukute yeye hajawahi hata mchangia demu wake mfuko wa cement lkn akiona mwanamke anajenga anahisi amesaidiwa
 
Whaaat!
 
Kumbe nimempati, ananionea wivu kwavile ni mwanamke anafikiri nimemchukulia soko lake?

Apite kuleeee sinaga shobo nao kabisa.
 
Ukute yeye hajawahi hata mchangia demu wake mfuko wa cement lkn akiona mwanamke anajenga anahisi amesaidiwa
Ni wivu tu, ukute hata kiwanja hana hivyo anaumia kuona mwanamke anajenga. Basi inabidi ajifariji kwa kusema ninajengewa.
 
Inawezekana unao kutana nao ni wazee.... ila embu njoo dm nikuibie siri ambayo huifaham...
 
Kwasisi tuliyozoea siyo kazi, kwa ambaye haelewi na hajazoea ni kazi ngumu sana
Trust me

Ni kweli kabisa, labda tunavyoendelea watazoea na kuona ni mambo ya kawaida tu wala hayamzuii mtu kutafuta pesa. Maana si mzigo useme unaubeba kwenda nao kazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…