johnhance
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 1,768
- 2,135
akijibu nitagiSory kwani wew ni bikira hadi msubiri ndoa?

Nafikiri evolution inaendelea.
Sijasema kwenye ghorofa jamani eiiishVipi kwenye ghorofa mood inakuja? Wanawake bhana
Sasa nyumba ya udongo si mood haijiSijasema kwenye ghorofa jamani eiiish
Nilifikiri nami nipo kundi hili....Habari wadau wa jf
Hakika waswahili husema ukistajabu ya musa utayaona ya firauni
Sielewi baadhi ya wanaume wa siku hizi wamepatwa na nini
Miezi minne ilopita nilifahamiana na kaka mmoja jirani na ofisi nayofanyia yeye alikuwa ni mfanyabiashara.
Basi tulizoeana na mwisho akaniapproach na tukajikuta tumeanza mahusiano.
Aliniambia anakoishi kuwa amejenga na anaishi na wadogo zake wawili mmoja ke mwingine me
Na hao wote nilifanikiwa kuwaona hapo kwenye biashara yake.
Basi nami nilimweleza napoishi hivyo, basi week ya kwanza tu akawa anatamani sana tuonane faragha, alipogusia hilo tu nilimpa msimamo wangu kuwa siwezi kufanya hicho kitu kabisa mpaka hapo tutakapokuwa na ndoa kama kweli anamanisha.
Basi, alikubali, muda ukaenda kwa kuwa aliniambia kajenga nikaona kama ni mpenzi wangu ni muhimu angalau kufahamu anapoishi, nilipomgusia suala la kwenda kwake aligoma kabisa akasema haitaleta picha nzuri mimi kwenda pale na wadogo zake wakiwepo, nikawa sielewi mwanaume wa 30+ anaofiaje wadogo zake?
Kuna mambo mengi nikawa nashangaa kuna siku akaniambia jiandae weekend hii tutaenda garden flan ambayo ni sehemu tulivu tunaweza kuongea mipango yetu na kubadilishana mawazo, nikakubali weekend nikajiandaa akaja na boda amepakiwa akasema panda (mshikaki) nikatamani kugoma ila nikavumilia boda akaanza kutembea nikashangaa nimeshushwa nyumba ya udongo yenye pazia la kanga nikahisi labda kuna ishu anafata nikamuliza hapa ndo rose garden? Akasema hapa ni kwa John(kijana wake wa dukani) kuna kitu nataka tuchukue then tuendoke, nikasema poa chukua twende, akasema ingia upaone nikagoma, (kumbe alishakodi geto ya huyo dogo ili apige mambo )lakini akashindwa kuniambia akanidanganya so hapo nikiingia tu story inabadilika
Nikamwambia ingia ngoja nifike dukani nichukue maji ya kunywa na pipi nakuja akasema poa, nilichukua boda boda nikamwambia akimbize anirudishe home.
Kesho yake akaanza kuomba misamaha mingi sana, nikamsamehe
Maajabu mengine nikifika dukani kwake anasema una elfu tano hapo hebu mara moja, ndo inaondoka mazima
Naenda dukani kwake nakaa anasema hebu mkoba wako anaatafuta hela akipata buku anaangiza soda nikiuliza anasema nitakulipa
Basi tabia hizo zikaendelea, kuna siku akaenda dsm kufata mzigo akiwa huko akapiga simu yuko moto flani naomba nisaidie laki mbili nikija nitakurefund kuna bidhaa zimeongezeka, dah nikaona ni mtu wangu nimsaidie dakika hiyo hiyo nikamrushia aliporudi alikaa zaidi ya week mbili hadi nikawa mkali ndo akaanza kunilipa tena kidogo kidogo
Siku moja nikawa nadaiwa hela flani na fundi sasa nikapelewa na 30k nikampigia nisaidie 30k by tomorrow nitakurejeshea akasema hana, je jioni ukishauza akasema hana dah niliumia sana
Ikaisha kama week zilikuwa tareh za mshahara nashanga naitwa beby, honey mke wangu mzuri, a kasema kuna jambo anataka tuongee basi tukakutana mKe wangu unajua nina malengo makubwa sana na wewe sasa week ijayo naenda karikoo ila hela yangu imepelea najua mshahara tayari umetoka naomba laki tano nikija niuze uze na wewe utaenda kuchukua mzigo nikirudi, nikamwambia siwezi kabisa kumkopesha Mana na mimi nitaenda kufata mzigo kariakoo siku si nyingi nikamnyima.
Kufupisha stori nilipigwa mizinga ya bila kujishtukiza hadi najicheka hizi elfu zangu, elfu mbili, elfu tano dah, nilipokuja kushtuka tuna miezi miwili ya mahusiano ila nishakopwa hadi sijielewi nikamwambia imetosha, umekuja kwangu kunichuma sasa imetosha.
Baadhi ya wanaume wenye hizi tabia mjirekebishe, raha ya mwanaume hugharamikie si ugharamikiwe
Sasa nyumba ya udongo si mood haiji
Ghorofa linawakilisha aina fulani ya maisha, kadhalika nyumba ya udongo.Kwa hiyo baada ya nyumba ya udongo kifuatacho ni ghorofa?
Imepigwa plasta ka rangi kidogo.... Hakuna vumbi vumbi angalau .... Achana na maghorofa kwanza huko mbali mnoGhorofa linawakilisha aina fulani ya maisha, kadhalika nyumba ya udongo.
Kweli espyWengi hapa watajifanya kumshangaa huyo jamaa ila wanaume wengi wa siku hizi ndio tabia zao hizo. Wanapiga mizinga hatari hadi mtu unabaki kucheka tu[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
PoleNilifikiri nami nipo kundi hili....
akijibu nitagi
Hili ni darasa kwangu, siwezi kabisa kutapeliwa tenaDah pole sana dada, kweli siku hizi kuna wanaume wanazingua sana, hiyo ni tabia ya ubahili, uchoyo, ubinafsi na uongo, na tena hata hajajenga huyo ni tapeli tapeli tu.
Achana nae next time msome mtu mapema kabla hujapoteza mda wako na resources zako kama hizo pesa alizokupiga mizinga
Habari wadau wa jf
Hakika waswahili husema ukistajabu ya musa utayaona ya firauni
Sielewi baadhi ya wanaume wa siku hizi wamepatwa na nini
Miezi minne ilopita nilifahamiana na kaka mmoja jirani na ofisi nayofanyia yeye alikuwa ni mfanyabiashara.
Basi tulizoeana na mwisho akaniapproach na tukajikuta tumeanza mahusiano.
Aliniambia anakoishi kuwa amejenga na anaishi na wadogo zake wawili mmoja ke mwingine me
Na hao wote nilifanikiwa kuwaona hapo kwenye biashara yake.
Basi nami nilimweleza napoishi hivyo, basi week ya kwanza tu akawa anatamani sana tuonane faragha, alipogusia hilo tu nilimpa msimamo wangu kuwa siwezi kufanya hicho kitu kabisa mpaka hapo tutakapokuwa na ndoa kama kweli anamanisha.
Basi, alikubali, muda ukaenda kwa kuwa aliniambia kajenga nikaona kama ni mpenzi wangu ni muhimu angalau kufahamu anapoishi, nilipomgusia suala la kwenda kwake aligoma kabisa akasema haitaleta picha nzuri mimi kwenda pale na wadogo zake wakiwepo, nikawa sielewi mwanaume wa 30+ anaofiaje wadogo zake?
Kuna mambo mengi nikawa nashangaa kuna siku akaniambia jiandae weekend hii tutaenda garden flan ambayo ni sehemu tulivu tunaweza kuongea mipango yetu na kubadilishana mawazo, nikakubali weekend nikajiandaa akaja na boda amepakiwa akasema panda (mshikaki) nikatamani kugoma ila nikavumilia boda akaanza kutembea nikashangaa nimeshushwa nyumba ya udongo yenye pazia la kanga nikahisi labda kuna ishu anafata nikamuliza hapa ndo rose garden? Akasema hapa ni kwa John(kijana wake wa dukani) kuna kitu nataka tuchukue then tuendoke, nikasema poa chukua twende, akasema ingia upaone nikagoma, (kumbe alishakodi geto ya huyo dogo ili apige mambo )lakini akashindwa kuniambia akanidanganya so hapo nikiingia tu story inabadilika
Nikamwambia ingia ngoja nifike dukani nichukue maji ya kunywa na pipi nakuja akasema poa, nilichukua boda boda nikamwambia akimbize anirudishe home.
Kesho yake akaanza kuomba misamaha mingi sana, nikamsamehe
Maajabu mengine nikifika dukani kwake anasema una elfu tano hapo hebu mara moja, ndo inaondoka mazima
Naenda dukani kwake nakaa anasema hebu mkoba wako anaatafuta hela akipata buku anaangiza soda nikiuliza anasema nitakulipa
Basi tabia hizo zikaendelea, kuna siku akaenda dsm kufata mzigo akiwa huko akapiga simu yuko moto flani naomba nisaidie laki mbili nikija nitakurefund kuna bidhaa zimeongezeka, dah nikaona ni mtu wangu nimsaidie dakika hiyo hiyo nikamrushia aliporudi alikaa zaidi ya week mbili hadi nikawa mkali ndo akaanza kunilipa tena kidogo kidogo
Siku moja nikawa nadaiwa hela flani na fundi sasa nikapelewa na 30k nikampigia nisaidie 30k by tomorrow nitakurejeshea akasema hana, je jioni ukishauza akasema hana dah niliumia sana
Ikaisha kama week zilikuwa tareh za mshahara nashanga naitwa beby, honey mke wangu mzuri, a kasema kuna jambo anataka tuongee basi tukakutana mKe wangu unajua nina malengo makubwa sana na wewe sasa week ijayo naenda karikoo ila hela yangu imepelea najua mshahara tayari umetoka naomba laki tano nikija niuze uze na wewe utaenda kuchukua mzigo nikirudi, nikamwambia siwezi kabisa kumkopesha Mana na mimi nitaenda kufata mzigo kariakoo siku si nyingi nikamnyima.
Kufupisha stori nilipigwa mizinga ya bila kujishtukiza hadi najicheka hizi elfu zangu, elfu mbili, elfu tano dah, nilipokuja kushtuka tuna miezi miwili ya mahusiano ila nishakopwa hadi sijielewi nikamwambia imetosha, umekuja kwangu kunichuma sasa imetosha.
Baadhi ya wanaume wenye hizi tabia mjirekebishe, raha ya mwanaume hugharamikie si ugharamikiwe
Shukrani nishapoaPole Sana ndugu
Lack of employmentKuna shida mahali. Hizi stori za aina hii nimezisikia Mara nyingi sana.
Ninafikiri kuna evolution fulani inapita na wanaume wanapita katika mabadiliko.
Anyway, hili lina uhusiano na haki Sawa yaani 50/50 baina ya mwanaume na mwanamke?
Je, wanawake wamewezeshwa kiasi cha kuwazidi wanaume, na sasa wanaume wamekuwa chini kuliko wanawake?
Njia za kupata Mali kwa wanawake zimekuwa nyingi kuliko wanaume?
Actually, it seems that there is a huge widening gap between men and women.
What is the causative?
ShukraniPole sana. Lakini inawezekana ulishawaringia sana wanaume wa maana wenye haiba yako. Sasa pambana na hicho kiben-ten cha darasa la nne, bila shaka akili itakukaa sawa.
Hakika bila vitu kaa hivi hatuwezi jifunzaPole sana duniani ni sehemu ya kujifunza,ndio maana ke wengi wanachepuka na waume za watu
MlinziUnafanya kazi gani mkuu??
Wa bahiliHivi hadi leo watu wanakodi ghetto!