Wanaume wa karne hii mmekumbwa na nini?

Wanaume wa karne hii mmekumbwa na nini?

Kwa hiyo nini hasa kinachokukera, kupigwa mizinga au jamaa kukataa kukupeleka home kwake?
Alafu huyo siyo kibenten ni mwanaume ambaye ni mkubwa kabisa kwangu matured na ana hustle kama kawaida ila miziga nayo anapiga sana

Sasa akili zitukae sawa kwani zimeyumba?
 
Acha kabisa, mpaka naachana naye nilikuwa namdai elfu 35 nilizomkopesha acha sile za mizinga ambazo sidai na simu ya tochi aloniazima.

Bada ya kuachana naye nikamwambia anilipe deni na aniletee simu, akasema poa pitia kesho kesho yake nikapita dukani kwake akasema nakuja ngoja nikufatie hela yako benki kwenye atm iliyopo tu jirani akachukua boda akaniacha hapo akasema anakuja bada ya dakika tano, uwezi amini nilikaa masaa mawili na nusu hakuja kumbe ilikuwa mbinu ya kunikimbia, basi nikadai mpaka nikachoka

Nikakaa nikasema kwenye maisha kama ni hasara nilishapata nyingi sana acha na hii simu na hizzi hela zangu nione kama hasara nyingine nazitoa sadaka kama ataniletea fyn kama asipoleta fyn sontadai nikaiambia nafsi yangu kila ukikumbuka simu na hizo hela ukaumia tazama magari ya mafuta yanayolipuka na kumwagika kila siku, tazama magorofa yanayoanguka je wamiliki wanafanyaje dah hiyo ikanipa faraja nikakubali kuwa nimepoteza nikajisamehe maisha yakaendelea
Duuuh hata simu kitochi ukaenda kudai? Mimi kuna demu wangu zamani alienda nje ya nchi kikazi, akaniletea zawadi ya laptop na saa... Tulivyomwagana wala haku mind.
 
Sikumpa, aliniazima atumie siku moja tu akurudisha, nimesamehe
 
Daah mecheka sana [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
 
Acha kabisa, mpaka naachana naye nilikuwa namdai elfu 35 nilizomkopesha acha sile za mizinga ambazo sidai na simu ya tochi aloniazima.

Bada ya kuachana naye nikamwambia anilipe deni na aniletee simu, akasema poa pitia kesho kesho yake nikapita dukani kwake akasema nakuja ngoja nikufatie hela yako benki kwenye atm iliyopo tu jirani akachukua boda akaniacha hapo akasema anakuja bada ya dakika tano, uwezi amini nilikaa masaa mawili na nusu hakuja kumbe ilikuwa mbinu ya kunikimbia, basi nikadai mpaka nikachoka

Nikakaa nikasema kwenye maisha kama ni hasara nilishapata nyingi sana acha na hii simu na hizzi hela zangu nione kama hasara nyingine nazitoa sadaka kama ataniletea fyn kama asipoleta fyn sontadai nikaiambia nafsi yangu kila ukikumbuka simu na hizo hela ukaumia tazama magari ya mafuta yanayolipuka na kumwagika kila siku, tazama magorofa yanayoanguka je wamiliki wanafanyaje dah hiyo ikanipa faraja nikakubali kuwa nimepoteza nikajisamehe maisha yakaendelea
Mmmmm mbona sisi mkituacha atuwadai ela tulizo wakopesha? Unatakiwa ukisha achana kubar kupoteza vitu vidogo vidigo
 
Ni ubahili mana uwezo wa kwenda hata garden au sehemu nzuri anajua pale tutakula au tutakunywa au tutalipa kiingilia so anidanganye ili niingie geto chafu la kuazima

Yani wakati naondoka lile eneo naona aibu sijekutana na mtu anayenijua natokea kanyumba kabaya hahhaha kaudongo mungu wangu sitaki kukumbuka
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Mbona watoto wakishua wanaingia na awajal lolote
 
Acha kabisa, mpaka naachana naye nilikuwa namdai elfu 35 nilizomkopesha acha sile za mizinga ambazo sidai na simu ya tochi aloniazima.

Bada ya kuachana naye nikamwambia anilipe deni na aniletee simu, akasema poa pitia kesho kesho yake nikapita dukani kwake akasema nakuja ngoja nikufatie hela yako benki kwenye atm iliyopo tu jirani akachukua boda akaniacha hapo akasema anakuja bada ya dakika tano, uwezi amini nilikaa masaa mawili na nusu hakuja kumbe ilikuwa mbinu ya kunikimbia, basi nikadai mpaka nikachoka

Nikakaa nikasema kwenye maisha kama ni hasara nilishapata nyingi sana acha na hii simu na hizzi hela zangu nione kama hasara nyingine nazitoa sadaka kama ataniletea fyn kama asipoleta fyn sontadai nikaiambia nafsi yangu kila ukikumbuka simu na hizo hela ukaumia tazama magari ya mafuta yanayolipuka na kumwagika kila siku, tazama magorofa yanayoanguka je wamiliki wanafanyaje dah hiyo ikanipa faraja nikakubali kuwa nimepoteza nikajisamehe maisha yakaendelea

Ila nawe waonekana bahili Sana

Mmeachana wadai elfu 35 tu?

Usamehe tu vyote.

Halafu bukubuku unahesabu jamani??
 
Na hili ndyo jibu lenyewe.. Jamaa alishausoma mchezo akaona hapa hapati kitu dadeki... Jamaa akageuza mchezo faster hiyo tunaita counter attack
Jamaa alianza kukuona miyeyusho baada ya kukuomba gemu ukakataa, hivyo akaona bora akuchape matukio tu ili uondoke mwenyewe...
 
Huyo ni mpuuzi mnyoa viduku,ungempa appointment muende hotel ya maana,ule,unywe na room alipie alafu unamkimbia.
 
Back
Top Bottom