Lady of Destiny1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 588
- 869
- Thread starter
- #181
Sijui KUEDITEdit kichwa cha habar mama iwe hv WAVULANA WA SIKU HIZI MNAKUWAJE. Mwanaume hayuko na sifa hizo.

Baadhi siyo woteSema BAADHI YA WANAUME usituweke wanaume wote kwenye kapu moja. Wengi hatuna tabia za kipuuzi puuzi zisizoendana na tabia za kiume.
ManakeHilo fambastic
Manake
Si kila mwanamke ni mpiga vibomu, mimi hadi niombe hela ujue nina shida hasaa, naomba Pale ambapo sina na sina options zingineHahaha. mkuu haiwezekan uwape wahuni wale afu mi nisubili ndoa?
hahahhah jamaa kamua anze kabla haja anzwa kupigwa vibomu.
.Habari wadau wa jf
Hakika waswahili husema ukistajabu ya musa utayaona ya firauni
Sielewi baadhi ya wanaume wa siku hizi wamepatwa na nini
Miezi minne ilopita nilifahamiana na kaka mmoja jirani na ofisi nayofanyia yeye alikuwa ni mfanyabiashara.
Basi tulizoeana na mwisho akaniapproach na tukajikuta tumeanza mahusiano.
Aliniambia anakoishi kuwa amejenga na anaishi na wadogo zake wawili mmoja ke mwingine me
Na hao wote nilifanikiwa kuwaona hapo kwenye biashara yake.
Basi nami nilimweleza napoishi hivyo, basi week ya kwanza tu akawa anatamani sana tuonane faragha, alipogusia hilo tu nilimpa msimamo wangu kuwa siwezi kufanya hicho kitu kabisa mpaka hapo tutakapokuwa na ndoa kama kweli anamanisha.
Basi, alikubali, muda ukaenda kwa kuwa aliniambia kajenga nikaona kama ni mpenzi wangu ni muhimu angalau kufahamu anapoishi, nilipomgusia suala la kwenda kwake aligoma kabisa akasema haitaleta picha nzuri mimi kwenda pale na wadogo zake wakiwepo, nikawa sielewi mwanaume wa 30+ anaofiaje wadogo zake?
Kuna mambo mengi nikawa nashangaa kuna siku akaniambia jiandae weekend hii tutaenda garden flan ambayo ni sehemu tulivu tunaweza kuongea mipango yetu na kubadilishana mawazo, nikakubali weekend nikajiandaa akaja na boda amepakiwa akasema panda (mshikaki) nikatamani kugoma ila nikavumilia boda akaanza kutembea nikashangaa nimeshushwa nyumba ya udongo yenye pazia la kanga nikahisi labda kuna ishu anafata nikamuliza hapa ndo rose garden? Akasema hapa ni kwa John(kijana wake wa dukani) kuna kitu nataka tuchukue then tuendoke, nikasema poa chukua twende, akasema ingia upaone nikagoma, (kumbe alishakodi geto ya huyo dogo ili apige mambo )lakini akashindwa kuniambia akanidanganya so hapo nikiingia tu story inabadilika
Nikamwambia ingia ngoja nifike dukani nichukue maji ya kunywa na pipi nakuja akasema poa, nilichukua boda boda nikamwambia akimbize anirudishe home.
Kesho yake akaanza kuomba misamaha mingi sana, nikamsamehe
Maajabu mengine nikifika dukani kwake anasema una elfu tano hapo hebu mara moja, ndo inaondoka mazima
Naenda dukani kwake nakaa anasema hebu mkoba wako anaatafuta hela akipata buku anaangiza soda nikiuliza anasema nitakulipa
Basi tabia hizo zikaendelea, kuna siku akaenda dsm kufata mzigo akiwa huko akapiga simu yuko moto flani naomba nisaidie laki mbili nikija nitakurefund kuna bidhaa zimeongezeka, dah nikaona ni mtu wangu nimsaidie dakika hiyo hiyo nikamrushia aliporudi alikaa zaidi ya week mbili hadi nikawa mkali ndo akaanza kunilipa tena kidogo kidogo
Siku moja nikawa nadaiwa hela flani na fundi sasa nikapelewa na 30k nikampigia nisaidie 30k by tomorrow nitakurejeshea akasema hana, je jioni ukishauza akasema hana dah niliumia sana
Ikaisha kama week zilikuwa tareh za mshahara nashanga naitwa beby, honey mke wangu mzuri, a kasema kuna jambo anataka tuongee basi tukakutana mKe wangu unajua nina malengo makubwa sana na wewe sasa week ijayo naenda karikoo ila hela yangu imepelea najua mshahara tayari umetoka naomba laki tano nikija niuze uze na wewe utaenda kuchukua mzigo nikirudi, nikamwambia siwezi kabisa kumkopesha Mana na mimi nitaenda kufata mzigo kariakoo siku si nyingi nikamnyima.
Kufupisha stori nilipigwa mizinga ya bila kujishtukiza hadi najicheka hizi elfu zangu, elfu mbili, elfu tano dah, nilipokuja kushtuka tuna miezi miwili ya mahusiano ila nishakopwa hadi sijielewi nikamwambia imetosha, umekuja kwangu kunichuma sasa imetosha.
Baadhi ya wanaume wenye hizi tabia mjirekebishe, raha ya mwanaume hugharamikie si ugharamikiwe
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Shukrani sana [emoji257][emoji257][emoji257]
Habari wadau wa jf

Kutokana na hii stori mimi kama ke sikuwa kwake kiinterest kabisa katika siku zote nilimkopa mara moja tu tena Nilikuwa nimekwama haswa
Wanawake nao mmekuwa cheap sana, yaani ukitongozwa tu unataka umfanye jamaa ATB card yako, hapohapo unataka ndoa, sisi wanaume huwa hatuoi hovyo bila kumchunguza mtu, ila hata ukibania papuchi hakuna atakaye kuoa bila kukugegeda kwanza akajiridhisha TBS na michezo kama unaifahamu vema.
Huu ni mtazamo wako, kama wewe uwezi kuna watu wanaweza hatufananiWazee ukweli ni kwamba, habari za kutoa mzigo baada ya ndoa mimi siwezi kukubaliana nazo,otherwise muhusika awe hajakutana na mwanaume kabisa,
Hayo mazingira ya hawa watu yani(ke) yanatofautiana sana,unaweza ukafunga ndoa harafu ukawa unajutia ndani ya ndoa hiyo hiyo na kuanza kujiuliza kwa nini hukuonja kabla ya hiyo ndoa
Hapana mimi nahitaji mtu ambaye atanitunza alafu mimi nimsaidie pale anapokwama
DELETED LONG TIME, THIS IS JUST A STORYYaani litakataka, halifai
Kwani wewe ni (me) mkuu jinsia plse,au una comboHuu ni mtazamo wako, kama wewe uwezi kuna watu wanaweza hatufanani
SafiDELETED LONG TIME, THIS IS JUST A STORY
Kwahio wenye nyumba za udongo hatustahili vitu vitamu?Baada ya ghorofa Kuna nyumba hizi za kawaida zina floor angalau Imepigwa plasta ka rangi kidogo.... Hakuna vumbi vumbi angalau .... Achana na maghorofa kwanza huko mbali mno
jamaa mjanja sana, huu ujinga huu, yaani kitu 'used' then masharti kibaaaaoHahaha. mkuu haiwezekan uwape wahuni wale afu mi nisubili ndoa?
hahahhah jamaa kamua anze kabla haja anzwa kupigwa vibomu.
Kwahio wenye nyumba za udongo hatustahili vitu vitamu?