Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,015
- 947
Alikuwa ni very innocent, yani huwezi mdhania niliona nimepata bonge la gentleman, dah alivyoanza kusema una buku hapo? Mara ya kwanza ya pili ya tatu 'nikaanza kushtuka tho sikutake action nikijua maybe atabadilika duh nakaribia kufilisiwa kila anachoona kwangu anakiomba, kuna matofali yalibaki akayaona nyumbani akasema haya si hayana kazi nina mahali nataka kujenga nayaomba my God, sijui nilikutana wapi na huyu kupe
Ahaaaa aisee mnapatikana wapi wadada kama wewe, mahusiano yangu yote sijawahi pata mdada wakuninunulia ata chocolate.