Wanaume wa JF tubadilike

Wanaume wa JF tubadilike

Hell

Ngoja hili niseme sijui kama nipo sawa ila kwangu naona kama utoto ulio kithiri kabisa

Una kutana na manzi humu jukwaan mna enda faragha kisha ukitoka tu una kuja kumuanzishia uzi hapa kutoa ya faragha ina shusha heshima na kuonesha kuwa wanaume wa JF sio matured kitu sicho kizuri mna kuja kutubania wengine tukianza kutupa nyavu case study hii ni kutoka kwa member 5 hivi differ tubadilike kidogo
Toa mfano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom