Wanaume wa JF tubadilike

Wanaume wa JF tubadilike

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,467
Reaction score
65,786
Hell

Ngoja hili niseme sijui kama nipo sawa ila kwangu naona kama utoto ulio kithiri kabisa

Una kutana na manzi humu jukwaan mna enda faragha kisha ukitoka tu una kuja kumuanzishia uzi hapa kutoa ya faragha ina shusha heshima na kuonesha kuwa wanaume wa JF sio matured kitu sicho kizuri mna kuja kutubania wengine tukianza kutupa nyavu case study hii ni kutoka kwa member 5 hivi differ tubadilike kidogo
 
Ila mzee baba wewe kuandika vizuri, ndio ulisha shindwa kabisa?

Alama za uandishi zilisha kukosea nini?, au ndio no break uki anza kuongea.
FB_IMG_17113777045469815.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom