Wanaume wa JF sio wakweli hata kidogo

Wanaume wa JF sio wakweli hata kidogo

Jamani mtoto mzuri usinifanyie roho mbaya na pesa ukinipa kuna ubaya gani?πŸ˜‚
Kisa mnajua Vicoba tunavunja December ndio maana mnaomba hadi 45000 ya kutubembeleza tulale
 
Utaanzaje kufunga pm mtoto mzuri?
Acha nyuki wafuate maua watengeneze asali
Baada ya kuona matokeo ya Sensa mnanata sana ndio maana tunawafata wenywe piemuni
Au nasema uwongo gazeti mwenzangu la jioni Depal
 
Back
Top Bottom