Wanaume wa JF sio wakweli hata kidogo

Wanaume wa JF sio wakweli hata kidogo

Oya National Anthem kuna huyu mama aliyeleta huu uzi shida yake ni nini kwani? Nieleweshe japo kwa kifupi
Huyo bibi mzushi anajaribu kutuchafua wanaume wa JF tuone kama wote hatuna maana, wakati kesho asubuhi tunaweza mlipia nyumba na gari ya kutembelea na bili ya msosi mgahawa anaotaka, inakuwa kazi yake ni kukiosha kula na kupigwa kick 😅😅😅😅
 
Nilijua ni MILF kwa kuwa umesema ni mbibi atakuwa ni granny mwambie tunadeal na pisi namba E siku hizi🤣🤣🤣

Kwanza drop pics za zile pisi tunadeal nazo halafu ajilinganishe nazo ajionee aibu 😅
 
Nilijua ni MILF kwa kuwa umesema ni mbibi atakuwa ni granny mwambie tunadeal na pisi namba E siku hizi🤣🤣🤣

Kwanza drop pics za zile pisi tunadeal nazo halafu ajilinganishe nazo ajionee aibu 😅
😅😅😅😅 Wataona tunawatukana au tuna wadhalilisha acha wabaki kutuona wanyonge 🤣🤣🤣 ila vitu tunavyo vila ni hatari sana.. Wakiviona hawato leta dharau tena 😅😅😅😅 wao wanajua humu tunaganga njaa au tunawinda kumbe sie tunakuja ku buy time tu 😀😀😀😀
 
Sauti inatosha mkuu amekusikia 🤣🤣🤣 somo limeeleweka

Dont mess with National Anthem 😅😅😅
 
Wanaume wa jf sio wakweli hata kidogo ,they are not real but full of acting.
Sjapenda embu niambie Kama unamke umeoa ulinifatia nn Bobo na kuniomba WhatsApp number and then usinipigie cm usiku ninamke Mara naogopa tutagombana
Wakat inbox unanitongoz unadai upo single chefu[emoji25]
Alafu wanaume wa jf ni waongo jamani anajifanya moyo mpweke anajibebisha uko Bobo anakuita ili umpelekee chini tu

Asa we nae unawatoto 4 uko Italia mala Sudan[emoji119] ulivyo muongo afu eti Sina mke natak uwe mke wangu
Mtchewwww[emoji57] Apo Apo usipige cm nipo kazin mala saiv usik babe,babe ya nyoko[emoji25] MNITUE NA INBOX YNGU NAFUNGA

yani jf kwa kuact magenius kumbe makopo

Afu nawewe nikikuona umekomment hii post ntakuaibisha kwa kuniomba omba vocha eti unibembeleze usiku nilale ka pono[emoji57] kwanza umenshangaza toka lini mnyakyusa ukajitia mkorogo Tena mwanaume
Alokwambia natak kubembelezwa nilale kwani kufunga macho mi sijui

Yani jaman ukiomba mchumba jf shughuli ipo

Aaah wakaka awatak upendo kwanza first day wanatak [emoji97][emoji533]
Ukimwi hautaisha
MTU ata ujawai mwona
Humjui ndo first date na [emoji97][emoji533] unaomba [emoji57] chefu
Walahi polee Mimi niliombwa 30,000tsh kiingilioo katika moto wake,pili elfu 20,000tshnimetoa nimtu anadai yupo mbali ni mtumie vocha atarudisha.

Huyu ilikuwa 90,000tsh eti kama nampenda mie Sina hela kazi ndio hii maslahi ya manati.

Walahi maisha basi tu wengi tunapitia shida sana
 
Ulichelewa kuzaliwa hukuyaona ya musa na firauni, njoo JF uyaone mengine. 😂
 
Back
Top Bottom