Wanaume wa JF sio wakweli hata kidogo

Wanaume wa JF sio wakweli hata kidogo

Wanaume wa jf sio wakweli hata kidogo ,they are not real but full of acting.
Sjapenda embu niambie Kama unamke umeoa ulinifatia nn Bobo na kuniomba WhatsApp number and then usinipigie cm usiku ninamke Mara naogopa tutagombana
Wakat inbox unanitongoz unadai upo single chefu[emoji25]
Alafu wanaume wa jf ni waongo jamani anajifanya moyo mpweke anajibebisha uko Bobo anakuita ili umpelekee chini tu

Asa we nae unawatoto 4 uko Italia mala Sudan[emoji119] ulivyo muongo afu eti Sina mke natak uwe mke wangu
Mtchewwww[emoji57] Apo Apo usipige cm nipo kazin mala saiv usik babe,babe ya nyoko[emoji25] MNITUE NA INBOX YNGU NAFUNGA

yani jf kwa kuact magenius kumbe makopo

Afu nawewe nikikuona umekomment hii post ntakuaibisha kwa kuniomba omba vocha eti unibembeleze usiku nilale ka pono[emoji57] kwanza umenshangaza toka lini mnyakyusa ukajitia mkorogo Tena mwanaume
Alokwambia natak kubembelezwa nilale kwani kufunga macho mi sijui

Yani jaman ukiomba mchumba jf shughuli ipo

Aaah wakaka awatak upendo kwanza first day wanatak [emoji97][emoji533]
Ukimwi hautaisha
MTU ata ujawai mwona
Humjui ndo first date na [emoji97][emoji533] unaomba [emoji57] chefu
Pole sana tatizo wanaume serious hawawezi tongoza mwanamke ambaye hajawai muona ukiona mwanaume anakutongoza wewe wakati hajawai kukuona jua kabisa upigwa!!!

Jf tunatakiwa kuwa marafiki baada ya kukutana na kuonana ndio tuanze tongozana other wise unakuwa unaibiwa tu!!😀
 
Uzi unatembea spidi ya SGR mpaka ile content ya uzi imepotea nimeamini vijana wa Kitanzania tupo desperate sana. [emoji28][emoji28][emoji28]

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Narudia tena Mungu atakupa anaefanana na wewe.
May be mimi chaguzi zangu nina hisia kali
Humu kuna mkaka he is super nikisema super namaanisha, na si hawa wanaishi sinza na meru, ni wale wanaokula maisha, kama ni ulaya kaishi ulaya kweri kweriiiii hana maisha ya kuigiza narudia tena he is super. He his just a friend.northing else.
Sasa wewe dia tueleze hapa chaguzi zako ziko vipi?

Una vigezo gani vya kuprove kuwa unaekwenda kumpa no ni mwanaume unaemtaka?
Sio kila utitili unakuja pm unaukubali utitili mwengine ni wa kukuambukiza umasikini.

Ati mwanaume anajichibua? Huyo sio shoga kweli?
Natamani niwafundishe jinsi ya kujua mwanaume halisi humu jf ila nitapoteza tu muda wangu. Maana humu kuna watu lengo lenu ni kupata mwanaume hamna vigezo vingine.
....................................
1:Simply mtu akikufata pm jiulize alijiunga humu lini?
2: Je unahisi ana umri gani?
So nyuzi zake +posts zake kuanzia 2008 to date, kama huwezi zisoma basi bebana na huo utitili wa kuomba vocha.
4: tenga week nzima.kabla hujamjibu soma comments zake hutokosa jibu, kuna sehemu utagundua alishaelezea maisha yake hata kwa ufupi.
5: soma kwa makini nyuzi zake alizozianzisha, mwanaume wa maana hanaga nyuzi za kujua harmonise kaachana na kajala, wema na kile kitoto huwezi kukuta kaanzisha uwo uzi.
6: HAWEZI KUWA ANACOMMENT HOVYO HOVYO.
7. Kwa mara chache sana anacoment nyuzi za matukio eg ndege precision kuanguka bukoba atachangia kwa ufupi
8.kwenye siasa hawezi kuchangia sijui vijana wa ccm na chadema wanafanya upuuzi upi. Mara chache atachangia vitu muhimu vya kitaifa kwa ufupi sana
9: anapendelea jukwaa gani? Huwezi mkuta anachangia eti uzi wa kimasihara na ikitokea alichangia basi ni sentensi moja tu.
10. Kama anaishi ulaya muulize nchi gani? Akikwambia angalia time diference ya hiyo nchi na huku tz, then ulinganishe anachangiaga humu muda gani.?
11.kama kweli anaishi ulaya nyuzi alizoanzisha yeye kama alijiunga 2010 haziwezi zidi 10 na comments kama 387 kwa miaka 12 tho hapa inategemea anaweza asiwe na uzi alouanzisha ila coments zake ni chache. Tho hapa kuna option anapendelea kuchangia nini kama anapenda mpira lazima comments zake ziwe nyingi.
Etc etc etc etc
..................
Usione uvivu kumchunguza mtu anaetaka kuingia kwenye maisha yako.

Nimalize kwa kusema hivi humu jf ndo kuna wanaume wa maana kwa nyie ambao mnatafu, kuna wanaume wana pesa chafu, wasafi wana ndiga za maana wana maisha halisi lakini dada hawawezi ingia kwenye maisha yako kwa sababu wewe huna standards.
Huna standards kwa maana ipi?
Hauko real
Kuna wakati unachangia ujinga ukijuwa hufatiliwi.
Dada ukifatwa pm unaruhusu mazoea na usio wajua je umesahau humu watu wana id hata tatu? Leo kaja na hii kesho kaja na ile?

Kama unahisi huyo mwanaume sio mwambia sikuhitaji usikubali kumpa no yako wakati bado una wasiwasi.

Nb nilichokiandika hakimulengi muanzisha mada ni kwa yeyote atakaeona akisoma kitamsaidia.
Dear luckyline
I approve this.
 
Nachukua uzi wa luckyline naanza kuuishi, naenda fufua account yangu ya 2009 haifanyagi chochote ile huwa inasoma tu, haijawa like wala comment nianze kazi maalumu nitaopoa tu 😅😅😅.. Asante sana luckyline kwa maujanja na maujuzi
Swali liko pale pale fufua fukua are you real? Lengo lako linakuwa lipi haswa?

Real men wanavutia aisee.
Mimi kuna password moja ilinijia pm. Alikuwa straight mpaka nikaogopa alianza hivi

Mimi ni fulani nafanya kazi UN namiliki 1,2,3,4,5,6,7 8 9 aisee nilivyokuja kumjuwa nilitaka kuzimia yaani ana kila kitu dunia hii mwanamke anachotamani, anajipenda balaa
Kilichonifanya nisiwe nae ni muislam. Na mimi sinaga tamaa kasoro niliyoina kwake ni hiyo tuuuu, ni good friend tunachat vizuri tu. Na sijawahi fanya nae chochote na sio demanding anajielewa ati.
Mkuu fufua ila usiigize, we need real men.
 
Back
Top Bottom