- Mar 29, 2016
- 255
- 534
Habari Iyola99 Umeandika ukiwa umegadhibika sana. Hata hivyo kuna vitu vya kuviweka sawa.
1. Umetumia neno wanaume wa JF kusema ni waongo, bila ku-specify kuwa waongo ni hao uliokutana nao najua haujakutana na wote. Kwenye mantiki(logic) kosa hilo linaitwa Hasty Generalization. Kwa kukuonesha hili, ziko nyuzi nyingi za shuhuda za watu waliopata wapenzi bora ndani ya JF.
2. Suala la kudanganyana kwenye 'Love game' ni suala la kawaida kokote pale. Obviously, kuna watu wengine ulikutana nao nje ya JF na mapenzi hayakuweza kufikia hatua nzuri. Hivyo ni kitu cha kawaida kwa mahusiano kufeli.
Namalizia kusema wanaume wa JF sio waongo kama ulivyodai, bali umekutana na waongo ambao unaweza kukutana nao sehemu yoyote.
Aidha nakutakia kila la kheri kupata mume bora ndani ya JF, ila uwe na uvumilivu kwenye utafutaji. Kizuri hakiji kirahisi.
Akhsante.