Wanaume wa JF mna shida gani?

Binadamu anayependa kulalamika sijui anashindwa kuelewa kujifunza au vipi, tusipende kulalama kwa kila kitu. Tujue kuwa vitu kama hivi katika jamii zetu huwa sio jambo geni.


Kuna forum huwa naangaza macho nikipata muda(japo kimalikia ni tatizo [emoji23][emoji23]), hakuna ulalamishi wa ajabu. Sema ndio hivyo, jamii tofauti.
 
Hivi wewe unapokuwa faragha na mumeo huwa act the same way mkiwa mbele ya watoto wenu au watu wengine.


Always people act according to the environment and situation.

Usimuone Zero IQ ana stori nyingi za migegedo ukadhani kwenye kiwanda chake cha kuchakata chips pia ana hizo hizo stori, never.

Mbona unaonekana una IQ kubwa lkn fact ndogondogo kama hizi unashindwa kuzing'amua?
Jibu lako hilo hapo.
 
Binti andiko lako siyo ya kupuuzwa hata kidogo mabaharia tutafanyia kazi
 
Haoooo wanaume leo mumepatikanaaa,,,PyeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiyo hoja yako eti tu wachache duniani, naomba source ya hiyo data yako @Uvelia
 

Mdogo angu uvella uschukulie mambo serious sana humu mitandaoni

Wengine humu tunachangamsha watu tuu !
 
Nshaijua id yako chief πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…