Wanaume wa huku muache mapozi

Labda alikuja kwa mbali kukikagua chumba bila kumuona mwenye nyumba akaona ni cha udongo ndo maana akasepa mazima
 
sakapal, first date unamkaribisha mtu kwako?? ama ni mimi nimezeeka...

Hapana hapo Retired Sister alikosea japo @ FP anasema alifanya hivyo, hujazeeka ila kwa fairness ni vizuri wote mkakutana open space au public place tena ambapo hapauzwi kilevi kama sehemu za coffe/tea snacks au juice cafee au garden and the like places.
 
Last edited by a moderator:
sorry baby..nilishindwa kuja. My uncle's cousin's sister in law's best friend's insurance agent's roommate's pet
goldfish died.
 
mi nataka sehemu ambayo nitakuwa comfortable.........
kma kwake iwe kwa wazazi wake, lol!
 

Hili suala tulishamaliza kwenye PMs kwanini ulilete huku hadharani??????? si busara Mods iondoeni hii thread, sijapenda kwakweli
 
dada kumbuka kuna usemi usemao LIKUEPUKALO LINA KHERI NA WEWE.....so shukuru tu huyo mkuu wa jf hakutokea na badala yake ukamit na huyo classmate wako....! (ila mwisho wa siku ishukuru tu jf kwa kukufikisha hapo kupitia huyo mkuu)
 

wazur mbona wapo wengi tu ndugu... Ukizingatia vigezo na mashart tu unawapata.
 
wazur mbona wapo wengi tu ndugu... Ukizingatia vigezo na mashart tu unawapata.

Vipi mamii nipe walau hata watatu hivi au nipe mmoja wa uhakika ambaye unamwamini,kigezo changu cha kwanza awe na tabia iliyotukuka,asiwe mapepe,halafu mrefu kidogo sio kwa maana ya wakati,na mwili unaoendena na urefu wake,sio mwembamba sana ama mnene kihivyo!!!.
 
dada kumbuka kuna usemi usemao LIKUEPUKALO LINA KHERI NA WEWE.....so shukuru tu huyo mkuu wa jf hakutokea na badala yake ukamit na huyo classmate wako....! (ila mwisho wa siku ishukuru tu jf kwa kukufikisha hapo kupitia huyo mkuu)

Hivi unategemea nini hayo makofi kwa siku nzima kwa huyo jamaa yako wa kwenye Avatar.
 
Wewe appointment unaweka Steers unafikiri kila mtu anafanya kazi migodini??

Pili umekuja kumtaarifu sasa kuwa upo na classmet wako?

Hee mbona mkali Mee wa Rula?Au wewe ndo uliuweka mdada wa watu afu hukutokea?Ha ha, hapo red kama vile kimekuuma ee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…