Retired Sister
Senior Member
- Jan 11, 2013
- 182
- 234
kuna siku nilitoa ombi langu la kutafuta mwenzi kwenye huu mtandao.walijitokeza watu wengi sana.
basi siku moja nikafanya appointment na mwanaume mmoja tukutane ili tujuane vizuri.tukapanga tukutane saa kumi na moja jioni pale steers!
mimi saa kumi na nusu nilikuwa pale,kumi na moja ikafika hajafika na nusu bado basi akatokea classmate wangu wa college,nilikuwa sijamuona siku nyingi kweli since nilivoenda nje kusoma 2009.tukapiga story nikaondoka nae tukahamia kiwanja kingine.tumetoka toka tumeamua kuingia kwenye relationship.
yule jamaa wa huku akaendelea kunisumbua ila sina feelings nae tena. mwanaume gani huwezi kukeep appiontment kwenye first date? nahukuru kwa kuchelewa pia maana huyu classmate wangu yuko very hot! hapa sibanduki! labda aniache.