Wanaume wa hiki kizazi mnastahili kinachowapata

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,958
7,512
1. Ni nani aliwadanganya eti ukioa mwanamke msomi mwenye pesa ndo kufanikiwa kimaisha?
2. Ni nani aliwaambia mkawategemee wanawake wawasaidie kuhimu majukumu ya familia?
3. Ni nani aliwadanganya wanawake wameumbwa kuja kuchukua nafasi zenu?
4. Ni nani aliwaambia mwanaume anahitaji pesa ya mwanamke kuhimu familia yake?
5. Ni nani aliwaambia uanamke ni kusoma na kumiliki Mali?
6. Nani aliwadanganya maisha ni vitu?

Ona sasa yanayowatokea:
1. Maana ya familia imewapita mbali na familia nyingi zimeshikwa na utandu wa buibui. Hazijiwezi
2. Mna nyumba na magari lakini familia zenu hazina amani
3. Familia zinapotea kisa mnaishi mnashindana na kila mmoja anataka mali. Ukienda kusoma masters ukirudi mke naye anataka akasome iwe iwavyo, na ni lazima aende.
4. Mmepoteza kujiamini na mmepoteza heshima yenu ya uanamme mnabaki kutawaliwa kifikra.
5. Wasomi ndo mnaongoza kwa kutokujiamini na kukosa misimamo, mmegeuka mabwege.
6. Mnafikiri familia bora ni mali kumbe ni amani, hekima na utulivu wa kifikra
 
Inasikitisha sana...

Huwezi mpangia mtu na maisha yake/yao... Na mfumo wa maisha wa zamani na zama hizi ni tofauti sana...

Mto mada unahimiza dada yako asome mpaka masters asije kuwa tegemezi mfano... Wakati huo huo hataki dada za wenzako nao wasome mpaka masters...

Cc: mahondaw
 
Ukijitahidi mwanamke ukasoma/fanya biashara zako bado hela yako nayo inawekewa mipaka na tena inadhaniwa kuweza kuondoa amani kwenye ndoa usiposoma ukamtegema mwanaume akafariki ghafla ukashindwa kusomesha watoto unasemwa ulikuwa goli kipa tu jamani hizi conclusion ni nyepesi sana
Tuna wajibu mkubwa kuliko mahusiano yetu kijinsia. Tuheshimiane tusapotiane na tulee watoto vizuri kuliko tulivyolelewa.
 
We mwanamke nimekuelewa sana
 
Kama hivi ulivyoandika ndio utulivu wenyewe, acha tu tuendelee na maisha yetu napo kuna vingine umeongea vya maana.
 
1. Ni nani aliwadanganya eti ukioa mwanamke msomi mwenye pesa ndo kufanikiwa kimaisha?
2. Ni nani aliwaambia mkawategemee wanawake wawasaidie kuhimu majukumu ya familia?
3. Ni nani aliwadanganya wanawake wameumbwa kuja kuchukua nafasi zenu?
4. Ni nani aliwaambia mwanaume anahitaji pesa ya mwanamke kuhimu familia yake?
5. Ni nani aliwaambia uanamke ni kusoma na kumiliki Mali?
6. Nani aliwadanganya maisha ni vitu?

Ona sasa yanayowatokea:
1. Maana ya familia imewapita mbali na familia nyingi zimeshikwa na utandu wa buibui. Hazijiwezi
2. Mna nyumba na magari lakini familia zenu hazina amani
3. Familia zinapotea kisa mnaishi mnashindana na kila mmoja anataka mali. Ukienda kusoma masters ukirudi mke naye anataka akasome iwe iwavyo, na ni lazima aende.
4. Mmepoteza kujiamini na mmepoteza heshima yenu ya uanamme mnabaki kutawaliwa kifikra.
5. Wasomi ndo mnaongoza kwa kutokujiamini na kukosa misimamo, mmegeuka mabwege.
6. Mnafikiri familia bora ni mali kumbe ni amani, hekima na utulivu wa kifikra
MKUU TUPE USHAURI WAKO SASA.!!
 
Ni ujinga wa kiwango cha rami
 
Ndio hali halisi ya yote uliosema hapo juu, hatuna jinsia tuendelee kupiga lapa mpaka mwisho wa pumzi tu...
 
ngoja nikanawe uso kwanza nikirudi nitasoma tena,ila niache ushauri kidogo
"mpeleke mtoto wako wa kike,
apate elimu atafaidika na maisha yake"
Kuolewa siku hizi ni majaaliwa,na maisha ni kusaidiana.
usawa huu mke kumtegemea mme kila kitu
nalo ni janga la kitaifa.
 
hata siku moja hatuwezi kuwa sawa, kama wewe hauko hivo huwezi kulazimisha wengine wakawa kama wewe, cha msingi ni kutoa ushauri watu wafuate!!!
 
Ndio hali halisi ya yote uliosema hapo juu, hatuna jinsia tuendelee kupiga lapa mpaka mwisho wa pumzi tu...
Mtoa mada umeangalia upande mmoja tu,na kama haya yamekukuta pole sana.Mimi nadhani elimu na mali(mafanikio)ktk familia hayana shida kabisa.Nadhani kosa liko hapa:Nyniyi wanandoa au wanafamilia background yenu ya malezi yako je?Hapa nalenga malezi ya kiimani,kiutamaduni n,k.kama msingi wa wanandoa/wanafamilia yoyote ktk hayo niliyoyataja ni bovu,usitegemee hiyo familia kuwa na amani,upendo,heshima hata kama mnakula nyasi!Hakuna din wala jamiii inayopinga elimu wala mafanikio,labda ya kishetani.Sisi wakristo maandiko yanatumbia MSHIKE SANA ELIMU WALA USIMWACHE AENDE ZAKE.....!na elimu ya sasa ni ghali sana na kila mzazi anapambana mwanae apate bila kuchagua jinsia!Muhimu sana turudini kwenye misingi tuliyoicha na NDOA NA FAMILIA ZITAPONA!!!!!!!!!!!!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom