babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,488
- 21,208
Juzi yule punga lokole anakula chapati na uma
Watakwambia vya mwanaume wa Dar
noma sanaHaaa haaa na kachumbari!
Mkuuu nakushukuruu sanaa leo niko dodoma na hapa sipataki maana naskia wale wajamaa wa daa wanahamia hukuu soo taendelea kupata manyanyaso bora niende zanguu Usukumani Bariadi kwa Mtemii ChengeeeKaribu sana mkoani mkuu Kibori nangai
Wee mwenyewe ulinunua na ndo maana ukaweza kulipiga picha