Wanaume Wa Dar Wakila Mahindi!

Wanaume Wa Dar Wakila Mahindi!

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
10,258
Reaction score
14,106
FB_IMG_1532095685205.jpg
 
Nadhani ni mbinu za biashara mkuu.

Pia kuongeza ladha coz mahindi mpaka yatoke shambani yawekwe garini, yasafirishwe, yafike Dar, yasambazwe kwa wanaochoma ndio lije kumfikia mlaji unaweza kuona hata ile ladha ya mhindi halisi itakuwa imepungua hivyo sio mbaya mkuu.
 
Sisi huku mkoani tunakoka moto kwanza ndio tunaingia shambani kuvunja mahindi ya kuchoma!
 
Safi kabisa mkuu.

Unaweza kuona tofauti iliyopo kati ya huko shamba na waliopo mjini kiongozi.
 
tatizo wewe unadhani kinachoweza kuongezewa radha ni nyama samaki nk hata matunda na vingine huongezewa
 
Kwanza Ukiwa mkoani muda wa kutafuta appetite ili ule hakuna.Sijui chumvi,malimao,pilipili huo muda hamna.Sababu ya kazi masaa yote appetite IPO on 100%
 
tatizo wewe unadhani kinachoweza kuongezewa radha ni nyama samaki nk hata matunda na vingine huongezewa
Kuongeza ladha ya nini tena wakati kitu kina ladha ya asili?
 
tatizo wewe unadhani kinachoweza kuongezewa radha ni nyama samaki nk hata matunda na vingine huongezewa
Kuna vitu vya kuongeza radha sio mahindi...ni kama wanaume wa dar wanavopenda kula mihogo mibichi ili wapate 'vinguvu vichache' tu vya kutumia kwa madem bila kuongeza radha yoyote
 
Back
Top Bottom