20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,255
Wakuu huu ni ukweli kwa asilimia kubwa ni baada ya kufanya utafiti na kusoma majarida mbalimbali na kugunduA wanaume vujana kwa wazee ni watu wenye fedha zao
Mfano kwenye majengo marefu kuna ndugu zangu wamewekeza huku
Kwenye biashara kuna watu kama mengi ; rostam aziz ; bakharesa;manji
Kuna watu wanamiliki mayard ya magari kuna watu wanamiliki ma petrol station..na pia vile vile kuna watu wana mabaa makubwamakubwa
So tuheshimu na tusiwe na dharau watu wa dar
Pia kuna benki kuu na mambo yote mengi yapo huku
Blue print ipo dar. Wew huon watu wakitoka mikoan wakija wanapigwa hela.
Dar watu hawatumii nguvu bali ni akili