miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
shost mbona wacheka
Nimefurahi sana
shost mbona wacheka
Hizo hata ukija nazo 42nd St. ukitafuta kubadili hamna mtu anayezikubali.
Mkuu wewe ni wa miujiza tu mambo ya biashara na money exchange rate huyajui......wafanyabishara wakubwa wa bandari wapo hapa mjini na pesa zinabadilishwa kama njugu
Sema wewe sio mfuatiliaji wa pesa ndio maana hujui chochote
Utaniambia nini kuhusu wafanyabiashara wakubwa wa bandari wakati bandari mimi nimepiguwa saluti hapo tangu enzi za Mwinyi?
Nikitoka safari zangu Kilwa Road, kipande cha kutoka Bendera tatu mpaka NASACO kikiwa na foleni, nafunguliwa geti kwa saluti naingia chini bandarini nakatiza mpaka bandari ya kwenda Zenji huku.
Leo unataka kuniambia habari za wafanyabiashara wajubwa wa Dar na bandari mie?
Mkuu tafadhali zamani walikua wanaweka walinzi migambo na vijana wa ulinziUtaniambia nini kuhusu wafanyabiashara wakubwa wa bandari wakati bandari mimi nimepiguwa saluti hapo tangu enzi za Mwinyi?
Nikitoka safari zangu Kilwa Road, kipande cha kutoka Bendera tatu mpaka NASACO kikiwa na foleni, nafunguliwa geti kwa saluti naingia chini bandarini nakatiza mpaka bandari ya kwenda Zenji huku.
Leo unataka kuniambia habari za wafanyabiashara wajubwa wa Dar na bandari mie?
Mkuu tafadhali zamani walikua wanaweka walinzi migambo na vijana wa ulinzi
Je hao tu ndio walikua wankupigia saluti au jeshi la tanzania
Mabilionea hawana hata bastola za kuwakimbiza panya road,nonesense.
Natamani kuwa bilionea, nikishindwa niwe angalau milionea, sasa natakiwa niishi miezi au miaka mingapi Dar ili angalau niwe "laki_onea"?Wakuu huu ni ukweli kwa asilimia kubwa ni baada ya kufanya utafiti na kusoma majarida mbalimbali na kugunduA wanaume vujana kwa wazee ni watu wenye fedha zao
Mfano kwenye majengo marefu kuna ndugu zangu wamewekeza huku
Kwenye biashara kuna watu kama mengi ; rostam aziz ; bakharesa;manji
Kuna watu wanamiliki mayard ya magari kuna watu wanamiliki ma petrol station..na pia vile vile kuna watu wana mabaa makubwamakubwa
So tuheshimu na tusiwe na dharau watu wa dar
Pia kuna benki kuu na mambo yote mengi yapo huku
masai dada siyo kwamba hii mada sikuiona nimeiona toka mwanzo, nikacheka tu, nikasema huyu jamaa atakuwa punguwani,
mabillionea anawao wazungumzia na jinsi alivyojieleza ni tofauti na maana sahihi ya mabililionea, ndio maana bwana Kiranga kamshika koo hata hafurukuti,
naukijaribu kukubaliana na hoja yake yakutaja watu wanaomiki magorofa dar eti ndio mabillionea hii mada inamfunga, magorofa mengi dar ni ya taasisi za serikali, makampuni, wahindi na watu wachache sana.
lakn ukifutilia na ukapinga kiwasitani ya watu wote wanaoishi dar utagundua, watu wanaoishi dar ni masikini wakutupwa, wanakula hadi utumbo wa kuku, wanalala nje, wanaishi kwenye mabonde, n.k
ukiangalia chakula wanachukula ni tafauti na mabillionea tunaowajua,
au wanataka kuniambia kushindia mikate lesi tatu, supu ya utumbo wa kuku na miguu ya kuu, billionea gani ayekula hivyo
haahah aiseee
Utaniambia nini kuhusu wafanyabiashara wakubwa wa bandari wakati bandari mimi nimepigiwa saluti hapo tangu enzi za Mwinyi?
Nikitoka safari zangu Kilwa Road, kipande cha kutoka Bendera tatu mpaka NASACO kikiwa na foleni, nafunguliwa geti kwa saluti naingia chini bandarini nakatiza mpaka bandari ya kwenda Zenji huku.
Leo unataka kuniambia habari za wafanyabiashara wakubwa wa Dar na bandari mie?
Tena nakuongezea wanaishi kwenye mabonde vua ikinyesha kidongo tu, maji hadi kiuononi, masai dada eti kwa akili yako kabisa unakubali billionea yuko hivyo,
hizo sehemu wanazokaa kama ni kwetu ni sehemu za kulima mpunga.