Wanaume wa Dar ni mabilionea

Wanaume wa Dar ni mabilionea

scatter

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
1,671
Reaction score
940
Wakuu huu ni ukweli kwa asilimia kubwa ni baada ya kufanya utafiti na kusoma majarida mbalimbali na kugunduA wanaume vujana kwa wazee ni watu wenye fedha zao
Mfano kwenye majengo marefu kuna ndugu zangu wamewekeza huku
Kwenye biashara kuna watu kama mengi ; rostam aziz ; bakharesa;manji
Kuna watu wanamiliki mayard ya magari kuna watu wanamiliki ma petrol station..na pia vile vile kuna watu wana mabaa makubwamakubwa
So tuheshimu na tusiwe na dharau watu wa dar
Pia kuna benki kuu na mambo yote mengi yapo huku
 
Ujue ubilionaire hata wa senti ya senti ya Deutschmark ya Weimar Republic upo.
 
mabilionea wanakula miguu na utumbo wa kuku?
 
Kama hivi au
 
Attachments

  • 1420732447221.jpg
    1420732447221.jpg
    25.7 KB · Views: 1,930
Mabilionea hawana hata bastola za kuwakimbiza panya road,nonesense.
 
Bilionea unafanya gym ili upate nguvu za kuwakimbia panya road?Yaani wanaume kumi mnajificha chini ya vitz mkiogopa wavulana watatu waliokasirika!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Basi mkuuu, tumeshasikia
 
Mtuwachie wanaume wetu wa Dar kwetu wengine ndo fursa yetu............ni kweli mtoa mada ni mabillionea haswaa!!
 
Wakuu huu ni ukweli kwa asilimia kubwa ni baada ya kufanya utafiti na kusoma majarida mbalimbali na kugunduA wanaume vujana kwa wazee ni watu wenye fedha zao
Mfano kwenye majengo marefu kuna ndugu zangu wamewekeza huku
Kwenye biashara kuna watu kama mengi ; rostam aziz ; bakharesa;manji
Kuna watu wanamiliki mayard ya magari kuna watu wanamiliki ma petrol station..na pia vile vile kuna watu wana mabaa makubwamakubwa
So tuheshimu na tusiwe na dharau watu wa dar
Pia kuna benki kuu na mambo yote mengi yapo huku

kweli ulichokisema kaka,wanaume wa dar wana hela kwel kuliko wababa wa mikoani
 
Back
Top Bottom