Ina upana wake ndio maana wengine wanahamia Dodoma.Wapenzi wangu, habarini
Msemo huu unazidi kuwa maarufu siku baada ya siku. Mwanzoni sikuutilia maanani sana.
Juzi nilikuwa kijijini kwetu, kijijini kabisaa!! Nikamsikia kijana mmoja anamwambia mwenzake "... Mimi sio mwanaume wa Dar..."
Leo nikiwa katika daladala, yakatokea Majibizano kati ya Kondakta na abiria.
Pamoja na maneno mengi Kondakta aliyoongea, neno hili nililishika ipasavyo "... Mimi siwezi kujibizana na wanaume wa Dar.."
Swali langu, mwanaume wa Dar ni nani? Anatambulikaje?
Tehetehe [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eti mti wenye matunda ndio hurushiwa mawe naomba ujibu hili SHETANI IBILISI kila mahali anakemewa na kulaaniwa si msikitini kanisani je na yeye ni mti wa matunda?
Tehetehe mikoani hupati mwanaume mrembo kama huyo, dah aibu sana wanaume wa daRisalamaHawa hapa.
View attachment 371229
Ya wale madocta bingwa Kutoka Sumbawanga? HahahaSoma yale matangazo mlowekewa kwenye nguzo za umeme kule dar kisha utawatambua tu.
Huku mikoani hatuna hayo matangazo.
Duh! uyu ni Manzi au msela..!! Serikali itangaze hali ya atari kwa wanaume wa dar, huu sio uungwana kabisa.Hawa hapa.
View attachment 371229
Sina Jibu mkuu.Duh! uyu ni Manzi au msela..!! Serikali itangaze hali ya atari kwa wanaume wa dar, huu sio uungwana kabisa.
Yeah, wanatibu nguvu za kiume. Na maumbile madogo.Ya wale madocta bingwa Kutoka Sumbawanga? Hahaha
Haaaaaaaaa eti dume zima linatoa kiulimi nje. Linatafuta mwanaumeHawa hapa.
View attachment 371229
Shetani ibilisi ndio kitu gani? Ushawahi kuona shetani ibilisi? Siwezi kuzungumzia vitu visivyothibitika.Eti mti wenye matunda ndio hurushiwa mawe naomba ujibu hili SHETANI IBILISI kila mahali anakemewa na kulaaniwa si msikitini kanisani je na yeye ni mti wa matunda?