wewe dar sio kama huko kwenu, ukuileta ushujaa wa kiboya unapoteza fasta na majanga unaachia familia yako, akili kichwani ulinzi wako unao mwenyewe!
Lazima uongoze kwa sababu idadi ya watu ni kubwa ukilinganisha na mikoa mingine.Kwani Supu ya Pweza ndo inaongeza nguvu za kiume?Sasa iweje dar uwe mkoa unaongoza kwa unywaji wa supu ya pweza na matumizi ya dawa ya kiongeza nguvu za kiume
We hapo una ushujaa mbona hatujawahi kukusikia popote wakikuongelea kuwa we ni shujaa?Dar wanasukuma matumbo hata mazoezi hawafanyi wamekalia kula michemsho na bia+ KITIMOTO, wengi wao wana OBESITY, unategemea nini?
Lazima uongoze kwa sababu idadi ya watu ni kubwa ukilinganisha na mikoa mingine.Kwani Supu ya Pweza ndo inaongeza nguvu za kiume?
Dar wanasukuma matumbo hata mazoezi hawafanyi wamekalia kula michemsho na bia+ KITIMOTO, wengi wao wana OBESITY, unategemea nini?
tuachieni WANAUME wetu, teh teh
Khaa!! Sikiliza wewe, kama huijui Dar kaa kimya. Kwanza hiyo daladala ilikuwa inaelekea ubungo terminal na mida yenyewe ndiyo ilikuwa inakaribia ile ya mabasi ya Dodoma, Mwanza na Musoma. Sasa unategemea nini hapo? Kama mkoa mko vizuri mbona sista zenu wamejazana wanauza huku?:glasses-nerdy:Nimesikiliza clip ya dada mmoja anaeelezea mtu alie choma watu kisu ndani ya Daladala. Eti wanaume watu wazima walikuwa wanakanyagana kukimbia.
Hadi mama mmoja jasiri alipo jitolea na kukishika kile kisu cha mvamizi hadi kikamkata vidole.Eti ndipo wanaume wakajitokeza.
Kweli jamani wanaume wa Dar! Hadi msaidiwe na kina mama!
Aibu iliyoje hii
Hii inategemea na kazi yako pamoja na moyo wako. Kuna wengine ndiyo kazi zao na wanalipwa kwa kufanya hivyoDah inasikitisha,ila ushujaa wa kiboya utapotea, unatuachia mke, bajaji na stepson, tunaendeleza maisha
dudumizi09
Wanaume hata wakiwezeshwa. ........(malizia) ndiko tuliko kwa sasa.
Wewe soma uzi za humu nyingi ni madhaifu ya wanaume mara kushindwa kitandani, kushindwa kuhudumia family, kushindwa kulipa bill. .. Nk.
Ikishindikana wafadhili wanawake tatizo kipindi kile ilikua wanawake wakiwezeshwa wanaweza lakini sasa kimegeuka na mbaya hata wanaume wakiwezeshwa ndio wanalala kabisa hawajiongezi ndio shida na madhara ya umarioooo hapa mjini.
Kamata mwizi men
Mie jana sikuwepo Dar,otherwise angenikomaje huyo bwegezi........