Wanaume wa Dar Karibuni mlo!..

Hahahaha nimecheka sana. Haya wanaume wetu karibieni mlo
 
Waacheni Wazee wa chips yai wakimaliza wanashushia na beer.
 
Pamoja na kula huo ugali lakini kuna siku niliona kwenye taarifa ya habari kuna kasharobaro flani kana kisu kanaua watu ovyo nikajiuliza mbona kule watu wanakula ugali tena mweusi saana imekuaje hako kajamaa wameshindwa kukadhibiti
 
Wewe utakuwa mwanaume wa Dar.
Mkuu sio hvyo ulitakiwa unijibu...
Kutokana na rangi ya huo ugali nmeshindwa kuugundua ni ugali wa nn?
Kwetu kule ktk kijiji cha giningi tumezoea ugali wa dona, mhogo, ugali wa ndizi a.k.a bunyangwa
Ugali wa ngano..
Lakn Kati ya aina zote za ugali hakuna unaofanana na huo ndio maana nmeuliza... [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
 
Ugali wa mtama mkuu na kuku chukuchuku au isiyoungwa , baada ya hapo unashushia maziwa mgando au mtindi na ndizi mbivu moja baada ya hapo unapiga pushups 50 unaoga unapumzika ukianza game dem atakubali mwenyewe
Safi Sana sio wanaume wa dar wanagombaniana chips bloila na Dada zao baada ya hapo wanaenda saloon kujicream wanagombaniana kwenye dressing table na Dada zao
 
Pamoja na kula huo ugali lakini kuna siku niliona kwenye taarifa ya habari kuna kasharobaro flani kana kisu kanaua watu ovyo nikajiuliza mbona kule watu wanakula ugali tena mweusi saana imekuaje hako kajamaa wameshindwa kukadhibiti
Mkuu umewahi kuwasikia panya road huku mikoani? Unafikir kwann hawako wapo dar tu?
Dar unakuta jitu lina miaka 35 lakn bado Linalala kwa baba na mama
 
hahahahahaha *****, hapo pela likasomeee chuo kikuu! Unaweza kuvunja choo kipindi ukiliondoa mwilini sio siri.
 
Akah!!!! Sie twala Chips wanaume wa Dar nyie komaa na Miugali yenu!!!!!
 
Mimi ni mwanaume wa Dar chakula changu ni Chips jaman!!!!! [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
 
Wanakula hiyo makitu afu soon wanakuja kulialia mademu zao wanagongwa na wanaume wa DSM baada kujiunga UDSM na IFM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…