Wanaume wa Dar hovyo sana

Moneyowner

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,422
Reaction score
1,254
Aise kuna ile video jamaa anashushiwa rungu na mgambo wa makonda.

Huwezi amin wanaume wapo tu wamekuja mikono, bora hata yule mama alokuwa anapiga kelele.

Aise Hamna msaada kabisa mtu anaweza kuuwawa kizembe afu muanze kusingizia police wamekuwaje sijui. yule mgambo alistahili kipigo kitalatifu, maana ni muuaji yule.

Na wabaki hukohuko dar wakija huku mkoa tutawagawana kama pilau la IDD
 
Humu ndani ni rahisi kujua ni upande gani una manung'uniko kati ya wale wa Dar na wa Mikoani.

Maana kuna upande kila siku unalalamika wenyewe tu.
 
Unajua kwa hali ya sasa ilivyo na ukiangalia aliewaagiza hao mgambo watu wanaogopa kujiingiza kwenye matatizo.

Maana hata kama mgambo anakosea lakini ukiingilia unaweza kuishia kula virungu ukavunjwa hata mguu na safari ikawa sio ya kwenda hospital kutibia mguu bali ni kuelekea korokoroni. Mpaka uje upate matibabu ushakuwa kilema.

Ndio maana kila mtu anaona ni bora afanye mambo yake tu. Kuingilia mambo ya watu wengine mda mwingine utajizulia matatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukijua bongo tunakubebea mkeo labda umuache uko uko kolomije
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…