Wanaume wa Dar buana...!

Mkuu pengine ana haraka
kwanza mi na desturi moja, sikupishi kwenye siti hata uwe babu kizee.hivi kama huku mkoani mtu anaona gari limejaa nyuma kuna gari nyingine tupu kwanini ulazimishe kupanda gari lililo jah,kufa na tabu zako.
 
Mimi huwa napisha saana tuu, ila hata asante sijawahi isikia! Lakini sababu najali yule aloko tumboni huwa wala sijali mimi!

Kama wamo humu mkipishwa muwe mnasema asante basi!!

Kuna siku nilimpisha baba mmoja akanilipia nauli na chenji akaniachia!
Nilipokuwa kama wewe nilikuwa napisha sana, sasa hivi mimi mwenyewe nimezeeka nahitaji kupishwa
 
Kama elimu ya darasani inaweza kukufanya ukaelewa na kufeel anachopitia mtu mwingine hata kama wewe hujawahi kupitia kwa nini wewe usiweze kuvaa viatu vyake? Kwani huko darasani ninyi hamuendi?
Kuna mambo mengi tu yanayoweza kukuonyesha! Mfano kuzaa! C lzm uzae lkn unaweza hata ukaona kiumbe kingine kinavyozaa! Cc wanaume tutaona huruma kwa jinsi tunavyoona! Lkn mwanamke utaona Huruma kwa mambo mawili, kwanza anavypteseka pili unajiambia mwenyewe kwamba hata wewe utakuja kuzaa hivyo! Bc hapo ndipo utakapohickia huruma! Lkn cnyinyi
 
Wanawake huwa mnachukiana sana,ingawa kwa nyakati hizi pia kuna baadhi ya me wanakuwa na hizo tabia
 
Hivi kwanza kwa nini naongea na mtoto ambae ndio kwanza anabalehe. Umesomeka kijana
 
Wanawake ni kweli hampendani kabisa,hiyo ni kweli kabisaaa..

Hata wewe ungekuwa karibu usingemsaidia
 
Wanawake wa kiafrica tuna mbingu yetu special


Mimi huwa napisha mzee au mgonjwa
Lkn mtu akiwa mzima wa afya walahi simpishi..Ila km Ana mtoto nitamsaidia kumbeba
Mtoto wa kiume kung'ang'ana kwenye siti Hali Kuna wamama wamesimama Ni uzembe
 
Hahaha mm napisha watoto primary tena wakiwa wanatoka shule tu na nauli nawalipia unamkuta kakauka mdomo balaa yani kachoka kichiz mijitu mzima nshankata,
Bora hata hao. Sasa mtu mzima anaona gari limejaa anapanda. Mimi sipishi tena ukute ndiyo nimepigania siti.
 
Well, kwa hiyo daladala imejaa na unajua uwezo wa kusimama hamna utapanda tuu? Ninachosema ni kwamba gari imejaa na umeiona na ukaamua kupanda maana yake una uhakika una uwezo wa kusimama kupishwa kwenye siti ni huruma ya mtu tuu.
Naishi dar mwaka wa 22 huu.
 
yaani ni umama wa hali ya juu
 
Hv dada shemej kama hauishi mwisho wa route ya daladala do you expect daladala itafika na free seat?? Kwa hapa town?? Anyway labda kwa mchana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…