Wanaume wa Dar buana...!

kweli wewe ni konki konki
 
wanawake ni wazembe wazembe muda wote yanataka yakae tuuh...
 
Hahahaaa inakuwaje sikuona hii komenti...umetisha mkuu. Maisha yako chaguo lako
 
Sio chuki, mimi binafsi huwa naona kama wanaume wana wajibu wa kupisha nikiona midume imejikausha ndio nanyanyuka

Mwanaume anawajibu kwa sababu ipi labda?,so ww unataka babaako akupishe kiti sio?
 
wanawake ni wazembe wazembe muda wote yanataka yakae tuuh...
Vipi dume linalopisha halafu linaanza kumwaga povu kama vile kuna mtu kalishikia mtutu lisimame wakati limesimama kwa hiyari yake
 
Kama huna mimba na umejisikia kumpisha mjamzito au nwenye mtoto fanya kwa utashi wako.

Ila kusema huwa mnabeba mimba kwahiyo usipokuwa na mimba usimpishe mwenzako ni hoja ya kipumbavu sana. Naona ni kama mnalazimisha watu wawaonee sympathy wakati ni majukumu halali kwenu.

Mwanamke wa Afrika anakuwa proud kuwa mwanamke wa kiafrika na anafanya majukumu yake with proud hata kama anaface difficulties zozote zile ila anasimama imara.

Nyie wanawake wa sasa mnaleta uzungu wa kimagharibi na kulazimisha waume zenu waafrika waufuate, ndio maana hata mnalazimisha mwanaume wako apige goti wakati anakuvalisha pete wakati huo utamaduni haukuwahi kuwepo afrika.

Usitafute sympathy kutekeleza majukumu yako. Kama unaona mateso sana usiolewe na usizae kabisa.
 
#Nilikuwa nimelala

#nilijuaje kama moja kati wanaume alisema hampishe yule mama

Nawaza kwa sauti maana sipendi ujinga
Kifupi stori nimeifupisha mkuu na kwa namna nilivyoandika hapo utaona kabisa niligundua baadae kuwa aliambiwa hivyo.
Iko hivi, kwanza sijasema alimwambia ampishe, ila alimwambia amsaidie mtoto. Wakati ubishani unaendelea yule alivyoona mwenzie kapaniki akamwambia ' lakini mimi sijakuambia umpishe kwenye siti ila nilisema umsaidie mtoto' akajibu ' mimi nampakataje mtoto? Akilia nitamnyonyesha' ?
 
sio kwamba tunapenda sema mishipa ya aibu tunayo ila nyie ni makauzu sana hamna aibu...
Vipi dume linalopisha halafu linaanza kumwaga povu kama vile kuna mtu kalishikia mtutu lisimame wakati limesimama kwa hiyari yake
 
Haha sawa mkuu. Mimi sijakataa kupisha tena mimi ni mpishaji mzuri tu mradi niwe fiti. Lakini unaweza kuniambia ni kwa nini yule mwenzenu alikomaa kwa sisi ndio tulitakiwa kupisha ilhali yeye ndio alikuwa karibu na huyo mama anayehitaji msaada?
 
Eti ulikuwa umelala halafu umemuona mwanamke amepanda daladala na motto, how? Umeonaje wakati ulilala?

Halafu tena unasema hukumuona, maana ungemuona ungempisha, Aisee!

Sasa, mwanamke aliyezaa ndiye anajua uchungu kuliko mwanaume, so preferably, wewe mwanamke ndiye ulipaswa kumpisha huyo mama akae iwapo uliona wanaume wamegoma.

iron butterfly amepost thread anadai wanawake hampendani, therefore, I concur with iron butterfly maana kilichotokea kwenye hill daladala la Gongo la Mboto ni sadifu kwamba wanawake hampendani
 
hivi huoni hapo uliyemkusudia kumpa story now kaelewa story

Thanks khantwe
 
sio kwamba tunapenda sema mishipa ya aibu tunayo ila nyie ni makauzu sana hamna aibu...
Wanawake tunapitia mengi mkuu, unaweza kuniona sina mimba wala mtoto ukajua niko huru kumbe tumbo la period limenikamata sawasawa au naumwa kiuno, wengine huwa wanaanza kuumwa hata wiki moja kabla ya kupaa angani. Mkuu we acha tu, siku ambazo mwanamke anainjoi maisha yake hapa duniani ni chache mno.
 
Soma uelewe hivi hujaachaga tu kukurupuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…