C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Jun 8, 2019 #201 sumbai said: Niende wapi sasa?? Pm au Click to expand... Uende pm kufanyaje? Naomba ulale baba P kesho kanisani.
sumbai said: Niende wapi sasa?? Pm au Click to expand... Uende pm kufanyaje? Naomba ulale baba P kesho kanisani.
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Jun 8, 2019 #202 We hunitakii mema.... dark angel said: Mbona ameshaweka kambi huku pm. Click to expand...
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Jun 8, 2019 #203 Khantwe said: umeanza lini kuzeeka Click to expand... lini nilikuwa kijana Khantwe? Kijana ni wewe mie nishajizeekea zangu.
Khantwe said: umeanza lini kuzeeka Click to expand... lini nilikuwa kijana Khantwe? Kijana ni wewe mie nishajizeekea zangu.
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Jun 8, 2019 #204 dark angel said: Mbona ameshaweka kambi huku pm. Click to expand... Mume wa mtu sumu ohooo. Muulize akuambie Mara ya mwisho nilivyolala central police nilifanya nini
dark angel said: Mbona ameshaweka kambi huku pm. Click to expand... Mume wa mtu sumu ohooo. Muulize akuambie Mara ya mwisho nilivyolala central police nilifanya nini
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,503 Reaction score 176,606 Jun 8, 2019 #205 Mayala B said: Ni kweli wanawake mna roho mbaya sana hasa nyie kwa nyie hata aibu hamna kabisa Anakuja mwanamke mwenzenu anamimba hata kiti hampishi mnamtizama kama picha hadi atokee mwanaume amuonee huruma ampishe Mwanamke ni kiumbe katiri sana Click to expand... Hili jina lako sijui kwanini kila nikiliona nalisoma ndivyo sivyo
Mayala B said: Ni kweli wanawake mna roho mbaya sana hasa nyie kwa nyie hata aibu hamna kabisa Anakuja mwanamke mwenzenu anamimba hata kiti hampishi mnamtizama kama picha hadi atokee mwanaume amuonee huruma ampishe Mwanamke ni kiumbe katiri sana Click to expand... Hili jina lako sijui kwanini kila nikiliona nalisoma ndivyo sivyo
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,632 Jun 8, 2019 Thread starter #206 meck pro said: unaona kubeba mimba miezi tisa ni kazi acha zako mbona sisi wanaume tumebeba map*mb* miaka yote...dah! sijui nimeandika nini hapa..... Click to expand... Hizo p.umbu ni nzito kuliko manyonyo?
meck pro said: unaona kubeba mimba miezi tisa ni kazi acha zako mbona sisi wanaume tumebeba map*mb* miaka yote...dah! sijui nimeandika nini hapa..... Click to expand... Hizo p.umbu ni nzito kuliko manyonyo?
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,146 Reaction score 41,402 Jun 8, 2019 #207 sumbai said: We hunitakii mema.... Click to expand... Cute b huwa unamfanyaje baba p? Siyo kwa kujihami huku.
sumbai said: We hunitakii mema.... Click to expand... Cute b huwa unamfanyaje baba p? Siyo kwa kujihami huku.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,503 Reaction score 176,606 Jun 8, 2019 #208 Mwenza haya mafurushi yetu ya kiafrika twende nayo hivi hivi tu maana hamna namna.
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,632 Jun 8, 2019 Thread starter #209 cute b said: lini nilikuwa kijana Khantwe? Kijana ni wewe mie nishajizeekea zangu. Click to expand... Acha zako wewe hivi unajua mimi dada yako nimekuacha mbali sana. Nimehisi tu
cute b said: lini nilikuwa kijana Khantwe? Kijana ni wewe mie nishajizeekea zangu. Click to expand... Acha zako wewe hivi unajua mimi dada yako nimekuacha mbali sana. Nimehisi tu
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,632 Jun 8, 2019 Thread starter #210 Haha kweli mwenza, thawabu mbinguni Atoto said: Mwenza haya mafurushi yetu ya kiafrika twende nayo hivi hivi tu maana hamna namna. Click to expand...
Haha kweli mwenza, thawabu mbinguni Atoto said: Mwenza haya mafurushi yetu ya kiafrika twende nayo hivi hivi tu maana hamna namna. Click to expand...
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,503 Reaction score 176,606 Jun 8, 2019 #211 mirna92 said: Wanaume wengi wa kiafrika hawana huruma na wanawake, Unaweza kuta mama kabeba mtoto na anaongozana na mumewe lakini kumsaidia ni shida. Click to expand... Tena unakuta na mkoba kabeba, baba na walet yake mfukoni hata hajigusi
mirna92 said: Wanaume wengi wa kiafrika hawana huruma na wanawake, Unaweza kuta mama kabeba mtoto na anaongozana na mumewe lakini kumsaidia ni shida. Click to expand... Tena unakuta na mkoba kabeba, baba na walet yake mfukoni hata hajigusi
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Jun 8, 2019 #212 Khantwe said: Hizo p.umbu ni nzito kuliko manyonyo? Click to expand... Aibu nimeona mimi
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Jun 8, 2019 #213 Nahii baridi ya huku kaskazin dark angel said: Cute b huwa unamfanyaje baba p? Siyo kwa kujihami huku. Click to expand...
Nahii baridi ya huku kaskazin dark angel said: Cute b huwa unamfanyaje baba p? Siyo kwa kujihami huku. Click to expand...
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Jun 8, 2019 #214 dark angel said: Cute b huwa unamfanyaje baba p? Siyo kwa kujihami huku. Click to expand... Mzungu wa nne mama, na kila mtu shuka lake. Na marufuku kunisogelea. Hii adhabu imejitosheleza.
dark angel said: Cute b huwa unamfanyaje baba p? Siyo kwa kujihami huku. Click to expand... Mzungu wa nne mama, na kila mtu shuka lake. Na marufuku kunisogelea. Hii adhabu imejitosheleza.
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,632 Jun 8, 2019 Thread starter #215 cute b said: Aibu nimeona mimi Click to expand...
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Jun 8, 2019 #216 Atoto said: Mwenza haya mafurushi yetu ya kiafrika twende nayo hivi hivi tu maana hamna namna. Click to expand... Mafurushi yapii?
Atoto said: Mwenza haya mafurushi yetu ya kiafrika twende nayo hivi hivi tu maana hamna namna. Click to expand... Mafurushi yapii?
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,503 Reaction score 176,606 Jun 8, 2019 #217 cute b said: Mafurushi yapii? Click to expand... Si haya yanayosema wanawake hatupendani.
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Jun 8, 2019 #218 Khantwe said: Acha zako wewe hivi unajua mimi dada yako nimekuacha mbali sana. Nimehisi tu Click to expand... Wewe mimi ningeanza tabia mbaya mapema nikiwa form 4 si ningekuzaa kabisa nikiwa kwenye chumba cha mtihani? Uwiiiiii uainichapeeee
Khantwe said: Acha zako wewe hivi unajua mimi dada yako nimekuacha mbali sana. Nimehisi tu Click to expand... Wewe mimi ningeanza tabia mbaya mapema nikiwa form 4 si ningekuzaa kabisa nikiwa kwenye chumba cha mtihani? Uwiiiiii uainichapeeee
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,503 Reaction score 176,606 Jun 8, 2019 #219 Khantwe said: Haha kweli mwenza, thawabu mbinguni Click to expand... Tuna mbingu yetu special kabisa hivyo tusikate tamaa.
Khantwe said: Haha kweli mwenza, thawabu mbinguni Click to expand... Tuna mbingu yetu special kabisa hivyo tusikate tamaa.
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,208 Jun 8, 2019 #220 Khantwe said: Hizo p.umbu ni nzito kuliko manyonyo? Click to expand... Ni mzigo sana kwetu halafu zinaning'inia chini ...umeninin'gininia mule sio za kuzizarahu pu. Mbu naziheshimiwe
Khantwe said: Hizo p.umbu ni nzito kuliko manyonyo? Click to expand... Ni mzigo sana kwetu halafu zinaning'inia chini ...umeninin'gininia mule sio za kuzizarahu pu. Mbu naziheshimiwe