Wanaume wa 50+ GenZ wanawatesa kwa kuyataka wenyewe

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,349
Maisha ni safari ndefu, ukifanikiwa kufika 60,70,80…ukiwa na afya njema ni jambo la kumshukuru Mungu. Changamoto kubwa hapa kama uko na mwenza wako na mipango yenu ya pesa iko sawa uzee mbaufurahia.

Shida inakuja pale mliachana na mwenza au mmoja ametangulia mbele za haki. Mwaume anaanza mahusiano na ka binti ka 20+. Kisa wanakuambia gari bovu huvutwa na gari zima. Ni chuchu saa sita ndiyo zinawapagawisha? Unakutana na baba yake binti Ana miaka 48 wewe umegonga 60. Lakini ni baba mkwe huyo.

Akiba uliyoiweka kwa miaka 35 unaitumia ndani ya miaka 2. Kuanzia kujengea wakwe nyumba, kusomesha mashemeji na kumtibu mama mkwe.

Genz wanawafilisi hawa age go wenzazngu.
 
Screenshot_2026-01-29_233119.jpg
 
Naona umeandika kinyume chake, huku vijana wakiolewa na mishangazi.
 
Back
Top Bottom