Umenichekesha sanah bro..Kila side chick anatamani siku moja awe main chick, tena hawa ambao uliwambia Iam married halafu wanajifanya mioyo yao imetengenezwa na maganda ya bamia, anakwambia "worry not darling mi sinaga hata wivu wala sitakubana ila tu nikikutaka unipe dyudyu yangu usijifanye bize na mkeo am ready for wateva"
Ndo wana balaa sio mchezo mkianza atajifanya anamheshimu mkeo kabla ya kupiga simu anakuuliza 'are u free nikupigie' ila baadae dyudyu ikikolea anasahau (baundary) basi anajikurupukia tu sa9 usiku anatwanga eti "nimekuota bebi i wish you were here"
Mhh saa hizii? Akiona hukolei sasa anakutengenezea balaa ili mkeo agundue, akikukosa kwenye lipstick kwenye kola ya shati basi siku hizi wana misabuni yao na viungo- mseto vya kuweka ndani ya uvungu kunogesha penzi vinanukia balaa vinaitwa mishki na shaibu.
Nyuchi zinawekewa pilipili hoho mixer na viungo vya pilau mzee ukichepuka ukirudi home mkeo lazima agundue maana unabakia na harufu ya biriani siku 3 hata uoge na OMO haitoki labda ujisugue na utomvu wa mpapai na steel wire.
Haa haa mkuu umetishaaaaKila side chick anatamani siku moja awe main chick, tena hawa ambao uliwambia Iam married halafu wanajifanya mioyo yao imetengenezwa na maganda ya bamia, anakwambia "worry not darling mi sinaga hata wivu wala sitakubana ila tu nikikutaka unipe dyudyu yangu usijifanye bize na mkeo am ready for wateva"
Ndo wana balaa sio mchezo mkianza atajifanya anamheshimu mkeo kabla ya kupiga simu anakuuliza 'are u free nikupigie' ila baadae dyudyu ikikolea anasahau (baundary) basi anajikurupukia tu sa9 usiku anatwanga eti "nimekuota bebi i wish you were here"
Mhh saa hizii? Akiona hukolei sasa anakutengenezea balaa ili mkeo agundue, akikukosa kwenye lipstick kwenye kola ya shati basi siku hizi wana misabuni yao na viungo- mseto vya kuweka ndani ya uvungu kunogesha penzi vinanukia balaa vinaitwa mishki na shaibu.
Nyuchi zinawekewa pilipili hoho mixer na viungo vya pilau mzee ukichepuka ukirudi home mkeo lazima agundue maana unabakia na harufu ya biriani siku 3 hata uoge na OMO haitoki labda ujisugue na utomvu wa mpapai na steel wire.
Mkuu Complex hili ni janga kubwa sana nchini. Wengine mwanzoni wanaonekana Wema kumbe anakuchimba akishajua kipato chako na mkeo anaanza mizinga reja reja siku ukimnyima anadai ataenda kuharibu home. Aisee mm nilimtumia mchepuko mpaka namba ya wife anwambie live. Na wife alivyo fyatu asifikiri atamchekea na kumpongeza.mkuu hii inabidi tuanzishe operation kabisa. inaonekana wahanga tupo wengi sana. hahahahahahahahahahaha
sasa ikitokea umemuacha mkeo, ina maana utavuta side chick awe mama mwenye nyumba, kwahyo utatafuta mchepuko mwingine?Umesema kweli ila kumwacha mchepuko ni kazi kubwa kuliko kumwacha mke! Mchepuko ni kama bando la chuo,ni msaada mkubwa sana kwa wenye long calls ila Main Chick she's just there!
Aisee jamaa ana msitu wa maneno ni balaa. Eti ujisugue kwa utomvu wa mpapai na steelwire!Hivi mkuu unakaa pande zipi!!. .. Mana daah una maneno mpaka nashangaa...
Unaonekana wewe ni muongeaji wa kupindukia.
Hahaaaaa
Cpo makundi yote.mbona unacheka.? wewe ni mchepuko ama mama mwenye nyumba.?

siku moja nkatiwa love bite na mchepuko Duh nimepata tabu kuificha Hadi iyeyukeSafi sana na Baraka tele.ila kiukweli wanaume hatuwatendei haki wake/wenza wetu, kuna siku hiyo side chick alikuwa anataka pesa sijui akasuke na kupata pesa ya kununulia nguo eti kuna sherehe ya bethidei ya shoga yake ili atokelezee, akaomba kama laki hivi. Namnukuu "baby naomba laki tuu si unajua kuna party ya fulani nataka nitokelezee" nikamsikilizaaaaa katika hiyo simu alopiga, alipomalipomaliza kuongea sikumjibu, nikakata simu, kisha nikakaa na kuanza kufikiria. Maana juzi kati tuu mama mwenye nyumba alitoka kuniomba pesa ya kufanya shopping na pocket money ya matumizi ya hapa na pale, nikamtoleaga nje kuwa sina pesa.
Aisee baada ya kukata simu ya huu mchepuko simu na kufikiria kwa muda, nikainua simu na kumpigia maza haus na kumwambia, ombi lake limesikilizwa. Nikirudi nitampatia kiasi alichoomba. Aisee niliporudi tuu home, nikakata kilo 2 na kumkabidhi fanya unachotaka kama ulivyoniambia. Aisee alishangaa, maana sijawahigi kumpa pesa kama hiyo kwa mkupuo. kesho yake narudi home nakuta kuna mchele, mafuta, unga maharagwe na mazagazaga mengine ya jikoni. Huku yeye akiwa kanunua gauni moja na mimi kanichukulia shati moja kama suprise. Aiseeee nilijiona nimeokoka katika mdomo wa mamba mchepuko.
washenzi sana hawa michepuko, Ila na sisi wanaume tunayatakaga haya matatizo ya michepuko.
Mkuu hongera nimejfunza kitu hapo ..maana yanatumaliza kama misukule ..hapa nimelkimbia moja linataka lakiila kiukweli wanaume hatuwatendei haki wake/wenza wetu, kuna siku hiyo side chick alikuwa anataka pesa sijui akasuke na kupata pesa ya kununulia nguo eti kuna sherehe ya bethidei ya shoga yake ili atokelezee, akaomba kama laki hivi. Namnukuu "baby naomba laki tuu si unajua kuna party ya fulani nataka nitokelezee" nikamsikilizaaaaa katika hiyo simu alopiga, alipomalipomaliza kuongea sikumjibu, nikakata simu, kisha nikakaa na kuanza kufikiria. Maana juzi kati tuu mama mwenye nyumba alitoka kuniomba pesa ya kufanya shopping na pocket money ya matumizi ya hapa na pale, nikamtoleaga nje kuwa sina pesa.
Aisee baada ya kukata simu ya huu mchepuko simu na kufikiria kwa muda, nikainua simu na kumpigia maza haus na kumwambia, ombi lake limesikilizwa. Nikirudi nitampatia kiasi alichoomba. Aisee niliporudi tuu home, nikakata kilo 2 na kumkabidhi fanya unachotaka kama ulivyoniambia. Aisee alishangaa, maana sijawahigi kumpa pesa kama hiyo kwa mkupuo. kesho yake narudi home nakuta kuna mchele, mafuta, unga maharagwe na mazagazaga mengine ya jikoni. Huku yeye akiwa kanunua gauni moja na mimi kanichukulia shati moja kama suprise. Aiseeee nilijiona nimeokoka katika mdomo wa mamba mchepuko.
washenzi sana hawa michepuko, Ila na sisi wanaume tunayatakaga haya matatizo ya michepuko.
Mkuu hongera nimejfunza kitu hapo ..maana yanatumaliza kama misukule ..hapa nimelkimbia moja linataka laki
Kila side chick anatamani siku moja awe main chick, tena hawa ambao uliwambia Iam married halafu wanajifanya mioyo yao imetengenezwa na maganda ya bamia, anakwambia "worry not darling mi sinaga hata wivu wala sitakubana ila tu nikikutaka unipe dyudyu yangu usijifanye bize na mkeo am ready for wateva"
Ndo wana balaa sio mchezo mkianza atajifanya anamheshimu mkeo kabla ya kupiga simu anakuuliza 'are u free nikupigie' ila baadae dyudyu ikikolea anasahau (baundary) basi anajikurupukia tu sa9 usiku anatwanga eti "nimekuota bebi i wish you were here"
Mhh saa hizii? Akiona hukolei sasa anakutengenezea balaa ili mkeo agundue, akikukosa kwenye lipstick kwenye kola ya shati basi siku hizi wana misabuni yao na viungo- mseto vya kuweka ndani ya uvungu kunogesha penzi vinanukia balaa vinaitwa mishki na shaibu.
Nyuchi zinawekewa pilipili hoho mixer na viungo vya pilau mzee ukichepuka ukirudi home mkeo lazima agundue maana unabakia na harufu ya biriani siku 3 hata uoge na OMO haitoki labda ujisugue na utomvu wa mpapai na steel wire.
dah wee jamaa umeua eti hoho