Wanaume: Vijue visa vya michepuko

Wanaume: Vijue visa vya michepuko

Hujakolezwa na mchepuko wewe! Ukikolea unaukaribisha nyumbani unaupa hadi namba ya mkeo.
Chepuko hupaswi kumpa hata namba ya simu ya ukweli. Tafuta namba feki ya haloteli ukimaliza kazi tupa kule sepa
 
Ukata na kuhamia Dodoma, michepuko dar ya kumwaga na bei karibu na bure.
 
kama ndo hvyo cmngeacha lkn ndo kwaaanz mnazidsh it means mnafurahia
 
Skin jeans zenu ndo zinatuhadaa mkijibana mnatutamanisha lakini tukifungua humo ndani ndo balaa linapoanza full harufu na breki pumbou, hata ukijidai unavumilia hiyo miharufu siku umefulia unatolewa nduki kwa maneno ya shombo. Bora nirudi kwa mama watoto wa kufa na kuzikana
 
Wewe jamaa unatafuta vita sasa
 
Haha haha ha ha Micheps Zina Raha na Karaha zake.

Ni msaada Mkubwa Sana zile nyakati ngumu. Ni kama vile spare Tyre.
 
Chepuko hupaswi kumpa hata namba ya simu ya ukweli. Tafuta namba feki ya haloteli ukimaliza kazi tupa kule sepa

Hihi Hihi Hihi nishawahi kui apply hiyo style yaani ni full amani.
 
Chepuko hupaswi kumpa hata namba ya simu ya ukweli. Tafuta namba feki ya haloteli ukimaliza kazi tupa kule sepa
Hujapata mchepuko wa kukukoleza vizuri wewe mpaka kwa mkeo utampeleka bila kutarajia
 
Cheps nyingine nuksi tupu. Ukute hata ladha hana unajikaza kiume lakini ndo anataka kumpindua bi mkubwa home
 
Back
Top Bottom