Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,390
Sasa utajiona booonge la boya na utajilaumu sn pale utakapogundua kwamba huyo mkeo, "the so called maza haus", unayehis unamvunjia heshima, unagundua kumbe na yeye ni mchepuko kwa mchizi fulani. Na jamaa anajipigia vizur tu.
Haya mambo bana hayana formula. Usimuone kama yeye yupo perfect na ww ni mkosaji sn. Moyo wa mtu ni kichaka, na kuwalinda hawa watu ni kazi mno. Si unajua ile hata akipewa John mchana, inaoshwa inakuwa mpya kbs na jioni unapewa vizur tu. Hahahaha