uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,703
- 37,933
Kila SIDECHICK anatamani siku moja awe MAIN
CHICK,tena hawa ambao uliwambia IAM MARRIED
halafu wanajifanya Mioyo yao imetengenezwa na
Maganda ya Bamia, anakwambia "Worry not darling
mi sinaga hata wivu wala sitakubana ila tu nikikutaka
unipe dyudyu yangu usijifanye bize na mkeo am ready for wateva" ndo wana balaa sio mchezo
Mkianza atajifanya anamheshimu mkeo kabla ya
kupiga simu anakuuliza 'Are u free nikupigie' ila
baadae dyudyu ikikolea anasahau BAUNDARI basi
anajikurupukia tu sa9 usiku anatwanga eti"Nimekuota
Bebi i wish you were here" Mhh SAA HIZII?? Akiona hukolei sasa anakutengenezea balaa ili mkeo
agundue,akikukosa kwenye Lipstick kwenye kola ya
shati basi Siku hizi wana Misabuni yao na Viungo-
Mseto vya kuweka ndani ya Uvungu kunogesha Penzi
vinanukia balaa vinaitwa MISHKI NA SHABU,Nyuchi
zinawekewa Pilipili hoho mixer na viungo vya Pilau mzee ukichepuka ukirudi home mkeo lazima agundue
maana unabakia na harufu ya Biriani siku 3 hata uoge
na OMO haitoki labda ujisugue na Utomvu wa Mpapai
na Steel Wire!!
Kama umeoa then Mkeo namuhurumia