SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
2017 michepuko nooo. Bora wale wauzaji angalau mkumalizana kila mmoja anatambaa
Hahaha evolution for revolution![]()
Mkuu mchepuko usipokua makini ni msala maanake mimi nilikuaga nao ulichonifanya ilibidi niundiwe tume huru baada ya kutinga home kumbe umeniwekea chupi mfukoni mwa koti langu.basi kufika home nikamwomba "MKURUNZINZA" anitolee cm yangu kwa mfuko akakutana nayo na wakati nahojiwa kulikoni chupi ya kike kumfuko mara mchepuko hapo hapo ukawa umetuma sms ambayo ilisomwa live.kilichofatia ni zaidi ya...hatari sana mkuu weka mbali na MkurunzinzaKila side chick anatamani siku moja awe main chick, tena hawa ambao uliwambia Iam married halafu wanajifanya mioyo yao imetengenezwa na maganda ya bamia, anakwambia "worry not darling mi sinaga hata wivu wala sitakubana ila tu nikikutaka unipe dyudyu yangu usijifanye bize na mkeo am ready for wateva"
Ndo wana balaa sio mchezo mkianza atajifanya anamheshimu mkeo kabla ya kupiga simu anakuuliza 'are u free nikupigie' ila baadae dyudyu ikikolea anasahau (baundary) basi anajikurupukia tu sa9 usiku anatwanga eti "nimekuota bebi i wish you were here"
Mhh saa hizii? Akiona hukolei sasa anakutengenezea balaa ili mkeo agundue, akikukosa kwenye lipstick kwenye kola ya shati basi siku hizi wana misabuni yao na viungo- mseto vya kuweka ndani ya uvungu kunogesha penzi vinanukia balaa vinaitwa mishki na shaibu.
Nyuchi zinawekewa pilipili hoho mixer na viungo vya pilau mzee ukichepuka ukirudi home mkeo lazima agundue maana unabakia na harufu ya biriani siku 3 hata uoge na OMO haitoki labda ujisugue na utomvu wa mpapai na steel wire.
Mi wa kwangu umejifungua tarehe moja. Hapa nina mawazo balaa maana wife akijua sijui ntajificha wapi. Hapa ndo huwa nakumbuka verse ya Abiud Misholi "Mke wangu ntamweleza nini?"Chepuko nuksi ujiloge umtie mimba ndo balaa mpaka Trump atajua.
Unamaanisha Mchungaji Abiud Misholi sio? Aisee Wacha tumwagilie ndoa zetu michepuko ishakuwa sumu.Mi wa kwangu umejifungua tarehe moja. Hapa nina mawazo balaa maana wife akijua sijui ntajificha wapi. Hapa ndo huwa nakumbuka verse ya Abiud Misholi "Mke wangu ntamweleza nini?"
Alipaswa kumdhibiti kwa kumbana mdomo asiongee amkokote mpaka home.Kuna jamaa kavunjiwa simu yake mpyaaa juzi na wife, ila amekaa kijiweni mara wife na mtoto mgongoni - kama robot vile kafika kashika simu ya jamaa (hapo wengine wote tuko wapope na kimyaaaaa) alikua mpole kama anapokea sacrament. Mchepuko sio kbs, wanawake wakigundua huwez kuish kwa amani kbs
Alipaswa kumdhibiti kwa kumbana mdomo asiongee amkokote mpaka home.



Chepuko nuksi ujiloge umtie mimba ndo balaa mpaka Trump atajua.
Ndo huyo mkuu...Unamaanisha Mchungaji Abiud Misholi sio? Aisee Wacha tumwagilie ndoa zetu michepuko ishakuwa sumu.
Duuh, kwa hiyo jamaa alichezea makofi "mabanzi" ya wife mbele ya washkaji kijiweni sio? Mi nilishawahi kupata mmoja anabwabwaja utadhani tumefunga ndoa. Nikaona isiwe tabu nimerejesha majeshi home. Nimekuwa mpole kama nna Govi.Hata hakujua..alidhani anaombwa hela ya nyanya![]()
Hahahaha Hajakupiga na kitu kizito kichwani?Mkuu mchepuko usipokua makini ni msala maanake mimi nilikuaga nao ulichonifanya ilibidi niundiwe tume huru baada ya kutinga home kumbe umeniwekea chupi mfukoni mwa koti langu.basi kufika home nikamwomba "MKURUNZINZA" anitolee cm yangu kwa mfuko akakutana nayo na wakati nahojiwa kulikoni chupi ya kike kumfuko mara mchepuko hapo hapo ukawa umetuma sms ambayo ilisomwa live.kilichofatia ni zaidi ya...hatari sana mkuu weka mbali na Mkurunzinza