Wanaume..... Uchafu au uvivu?

ha!.....hebu huko......nani amekwambia tunapenda wanaume wanaonuka kama beberu.....? mwanaume unatakiwa unukie marham ya kiume........sio unajipulizia kikobra huku hujaoga........kimdomo hujapiga mswaki.......sitaki.....
duuuuuh!!! bora mie sijasema!!!
 
Mtoa mada umeegemea zaidi kwa wanaume, nadhani ni ayako ni kuchokoza mada na sisi wengine tuliokaa kimya kuwafichia siri wenzetu tuweke hadharani.

Anyway pole kwa yaliyokupata kwani huyo uliyekutana naye ha-reflect wanaume wote. Wanaume wa kileo wanajijali na sio kama ulivyosema wewe, kinachotokea ni wengi wa wadada wa siku hizi mnajali sana wenye pesa matokeo mnakutana na Mazombie.
 
Hahaaa, karibu sana Lisa, Asante kwa ofa japo mimi hii oblongata ni bend moja so sio mwanachama.

Umesema vizuri. ishu hapa ni kujitambua wala sio gharama. na wengine ni uvivu tuu au kijiendekeza. anataka kila kitu afanyiwe, mtu anataka afuliwe hata boxer/vest/soski afu, kidume?

 

I like reading between the lines!!

Kwenye red hapo, yaani wewe ni mwanaume lakini unawafunua wenzako?? Who do you speak for?? Au ulimaanisha nn?? Acha tabia chafu hii, wewe ni bwabwa??? Hata hivi point yako ya usafi inaeleweka na kukubalika.
 
Asilimia kubwa ya wanaume wanajisahau sana hasa katika suala hili la usafi. Wanakuwa wasifi juu ndani hali ni tete.

Kuna jamaa mmoja tunafanya naye kazi akipita hata kama hukumuona utajua tu kuwa niyeye harufu inayomfuata nyuma. Akikuta unakula unatamani kuziba pua kwa harufu mbaya inayomtoka.

Wanaume wa namna hii jitahidini kuwa wasafi mnakera.
 

Suala linalozungumziwa hapa ni usafi. Haijalishi umefuga vichaka nyuma na mbele, cha maana uvipalilie vizuri na kuvisafishaaaaaaa.

Kwa kawaida kuna kunuka na kunukia. Kinukacho kichafu; kisafi kinanukia. Wanaume wakijisafisha vizuri kale kaharufu ka kibeberu huwa kama manukato ila wasipojiswafi looooooooooooo kama choo cha mbuzi!
 

Ukikutana na mwenye kichaka, ukataka kuchezea mic usisahau tooth pick..
Mi mwanamke mwenye mivuzi au minywele kwapani, hamu huisha hapo hapo...
 
Ukikutana na mwenye kichaka, ukataka kuchezea mic usisahau tooth pick..
Mi mwanamke mwenye mivuzi au minywele kwapani, hamu huisha hapo hapo...

Kwa kweli inakera, na inahatarisha usalama kwa kuchubuana na kutoboa dawa ya penzi. Wanaume mnashauriwa muwe mnayatoa, maana ninyi ndio wavivu kuhudumia bustani
 
Kwa kweli inakera, na inahatarisha usalama kwa kuchubuana na kutoboa dawa ya penzi. Wanaume mnashauriwa muwe mnayatoa, maana ninyi ndio wavivu kuhudumia bustani

Mh... Mi nadhani ni nyie zaidi...
 


Mmmmh, baba taratibu.....wapi huko umesikia tunavutiwa na hiyo harufu? Usitake tuanze kumtazama bi mkubwa kwa macho mawili mawili.......
 
To be clean is an art brother,unaweza kuwa na sanduku la chupi na ukawa mchafu.
 
usijitetee bwana.mimi naamini uchafu wa mtu ni uvivu na ni tabia.kama mzazi ukimfundisha mtoto wako majukumu ya usafi tangu akiwa mdogo haijalishi kama ni wa kike au wa kiume,huwa inasaidia.maana wapo wanaume ambao ni wasafi kupindukia

Tena mtoa mada kasahau suala la soksi na leso. Wengi wetu sijui ni kutotilia maanani au ni kitu gani yaani ni tatizo.
Usafi unahusika sana licha ya kujali jinsia.
 
Chupi 10!? Kwani kufua nguo ya ndani kuna ugumu gani jamani! Kama mtu anatabia ya usafi, kwa maoni yangu chupi 3-4 zinatosha!

3-4??? Tu!!
Na unazitumia kwa muda gani jamani???
Maana hizo si ndani ya mwezi tu zimeshatanuka!
 
Reactions: SMU
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…