duuuuuh!!! bora mie sijasema!!!ha!.....hebu huko......nani amekwambia tunapenda wanaume wanaonuka kama beberu.....? mwanaume unatakiwa unukie marham ya kiume........sio unajipulizia kikobra huku hujaoga........kimdomo hujapiga mswaki.......sitaki.....