Poleni na mishemishe za siku wanajamvi!
Hivi kwanini wanaume tunakuwa wachafu kiasi hiki?????? hii ni kero kubwa sio tu kwa yule mtu wa karibu na mhusika bali hata jamii kwa ujumla. Utakuta mtu mzima kikwapa ndo hicho kinatema 'ASIDI'; kule kwenye 'angle' ndo usiseme!!! ni noumer!
Hebu tujiulize, mwanaume anapaswa kuwa na nguo ngapi za ndani? boxa au vyupi na singland! hii ni kwa sababu hizi ni nguo muhimu sana na shida yote inaanzia hapo. utakuta mtu ana boxa moja au mbili akijitahidi sana. hii ni sifa kubwa ya kutosha kumfanya mtu anuke. Mwanaume msafi walau unatakiwa kuwa na ch*pi au boxa kuanzia kumi (10) na singland vilevile! hii ni kwa maana kwamba kila unapooga basi unabadili. sio mtu unaoga na unairudia mara tatutatu.... halaaaaa!
Nywele nywele nywele....... au vuzi kwa lugha yetu ile. wanaume wengine wana miili inayotoa harufu maana utakuta mtu mzima amefuga msitu! kote yaani chini huko na vikwapani ni noma....... kama unapenda kuwa na nywele hizi basi shart uwa msafi!!!! hakikisha unaoga vizuri na unakausha fresh ikiwezekana apply hata manukato kiasi basi. sio mtu unakuwa na ufundo wa nywele chafu na utategemea nini kitokee kama sio bonge la harufu chafu inayokera watu.
Wanaume tubadilike bwana..... utamkuta mkaka kaulamba lakini laiti ukamfunua utakimbia. Nawapa pole sana wale wanawake wanaokutana na hii shuruba ya wanaume wachafu, hasa wale ambao ni wachafu kupindukia na wanadiriki kuacha jukumu la kufua nguo za ndani ambazo ni kero kubwa kwa wake zao au madada wa kazi. Haipendezi hata kidogo mtu kuwa mchafu!
Mwanaume wa shoka hajisafi kama mwanamke....
Kwani hujui kwamba wanwake hupenda kile kijiharufu cha jasho la mwanaume..?
Na kwa taarifa yako hata zile nywele za kwapani na kunako kifanyio zina ladha yake katika mapenzi...
Ngoja waje wenyewe watakuambia.
Poleni na mishemishe za siku wanajamvi!
Hivi kwanini wanaume tunakuwa wachafu kiasi hiki?????? hii ni kero kubwa sio tu kwa yule mtu wa karibu na mhusika bali hata jamii kwa ujumla. Utakuta mtu mzima kikwapa ndo hicho kinatema 'ASIDI'; kule kwenye 'angle' ndo usiseme!!! ni noumer!
Hebu tujiulize, mwanaume anapaswa kuwa na nguo ngapi za ndani? boxa au vyupi na singland! hii ni kwa sababu hizi ni nguo muhimu sana na shida yote inaanzia hapo. utakuta mtu ana boxa moja au mbili akijitahidi sana. hii ni sifa kubwa ya kutosha kumfanya mtu anuke. Mwanaume msafi walau unatakiwa kuwa na ch*pi au boxa kuanzia kumi (10) na singland vilevile! hii ni kwa maana kwamba kila unapooga basi unabadili. sio mtu unaoga na unairudia mara tatutatu.... halaaaaa!
Nywele nywele nywele....... au vuzi kwa lugha yetu ile. wanaume wengine wana miili inayotoa harufu maana utakuta mtu mzima amefuga msitu! kote yaani chini huko na vikwapani ni noma....... kama unapenda kuwa na nywele hizi basi shart uwa msafi!!!! hakikisha unaoga vizuri na unakausha fresh ikiwezekana apply hata manukato kiasi basi. sio mtu unakuwa na ufundo wa nywele chafu na utategemea nini kitokee kama sio bonge la harufu chafu inayokera watu.
Wanaume tubadilike bwana..... utamkuta mkaka kaulamba lakini laiti ukamfunua utakimbia. Nawapa pole sana wale wanawake wanaokutana na hii shuruba ya wanaume wachafu, hasa wale ambao ni wachafu kupindukia na wanadiriki kuacha jukumu la kufua nguo za ndani ambazo ni kero kubwa kwa wake zao au madada wa kazi. Haipendezi hata kidogo mtu kuwa mchafu!
Msalani??? Ukiona mtu amekuwa msafi kiasi hicho hadi anajiita msalani, lazima ujue itifaki imezingatiwa. Ila umesisitiza kitu kizuri kwa wasiojitambua.
mbona mnachachua jina la mtoa mada?msalani.. Natamani huu ungekuwa ujumbe maalumu kwa wenye tabia hyo wajirekebishee!
Na leo mmejisemea wenyeweee aaaa.. Bravooo man!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
penye mstari: unaposema wanaume tubadilike inaashirie wewe pia ni mwanaume.Poleni na mishemishe za siku wanajamvi!
Hivi kwanini wanaume tunakuwa wachafu kiasi hiki?????? hii ni kero kubwa sio tu kwa yule mtu wa karibu na mhusika bali hata jamii kwa ujumla. Utakuta mtu mzima kikwapa ndo hicho kinatema 'ASIDI'; kule kwenye 'angle' ndo usiseme!!! ni noumer!
Hebu tujiulize, mwanaume anapaswa kuwa na nguo ngapi za ndani? boxa au vyupi na singland! hii ni kwa sababu hizi ni nguo muhimu sana na shida yote inaanzia hapo. utakuta mtu ana boxa moja au mbili akijitahidi sana. hii ni sifa kubwa ya kutosha kumfanya mtu anuke. Mwanaume msafi walau unatakiwa kuwa na ch*pi au boxa kuanzia kumi (10) na singland vilevile! hii ni kwa maana kwamba kila unapooga basi unabadili. sio mtu unaoga na unairudia mara tatutatu.... halaaaaa!
Nywele nywele nywele....... au vuzi kwa lugha yetu ile. wanaume wengine wana miili inayotoa harufu maana utakuta mtu mzima amefuga msitu! kote yaani chini huko na vikwapani ni noma....... kama unapenda kuwa na nywele hizi basi shart uwa msafi!!!! hakikisha unaoga vizuri na unakausha fresh ikiwezekana apply hata manukato kiasi basi. sio mtu unakuwa na ufundo wa nywele chafu na utategemea nini kitokee kama sio bonge la harufu chafu inayokera watu.
Wanaume tubadilike bwana..... utamkuta mkaka kaulamba lakini laiti ukamfunua utakimbia. Nawapa pole sana wale wanawake wanaokutana na hii shuruba ya wanaume wachafu, hasa wale ambao ni wachafu kupindukia na wanadiriki kuacha jukumu la kufua nguo za ndani ambazo ni kero kubwa kwa wake zao au madada wa kazi. Haipendezi hata kidogo mtu kuwa mchafu!
mbona mnachachua jina la mtoa mada?
ila ye anaitwa mlasani sio msalaniHahaa, Mkuu jina lina uhusiano wa karibu sana na mmiliki (yale majina yenye maana) ''we are products of what we think and say/proffess''
Amezungumza kitu ambacho kwa wanaume wasiojitambua inabidi wajirekebishe. majumbani mashuka nayo ni balaa, wengine wanatamani kungekuwa na mashuka meusi ili wasifue mara kwa mara au shuka moja inalaliwa hadi inalalamika yenyewe kwa kunuka uvundo, Ishu ya mtu kufuga mikucha mikubwa na michafu nayo ni ya kuangalia. Kucha zinamsema mtu haraka sana.
wengine hata kubrush viatu pamoja mashoe shiners kibao lakini kiatu kinakaribia kubadilika rangi kwa kukosa kiwi. ndevu pia zisiponyolewa kwa wakati, nazo zinakuwa uchafu, ukimuona mtu j3 unadhani ni ijumaa kwa ndevu zilivyokaa. etc etc.
''Kujifunza ni mchakato, sio tukio la mara moja''
usijitetee bwana.mimi naamini uchafu wa mtu ni uvivu na ni tabia.kama mzazi ukimfundisha mtoto wako majukumu ya usafi tangu akiwa mdogo haijalishi kama ni wa kike au wa kiume,huwa inasaidia.maana wapo wanaume ambao ni wasafi kupindukia
penye mstari: unaposema wanaume tubadilike inaashirie wewe pia ni mwanaume.
hapa kwenye nyekundu: sijajua unaanzaje kuwafunua hawa wanaume, na ukitafuta nini hasa, au wewe ni dokta wa hospitali?.
nauliza tu.
ha!.....hebu huko......nani amekwambia tunapenda wanaume wanaonuka kama beberu.....? mwanaume unatakiwa unukie marham ya kiume........sio unajipulizia kikobra huku hujaoga........kimdomo hujapiga mswaki.......sitaki.....
penye mstari: unaposema wanaume tubadilike inaashirie wewe pia ni mwanaume.
hapa kwenye nyekundu: sijajua unaanzaje kuwafunua hawa wanaume, na ukitafuta nini hasa, au wewe ni dokta wa hospitali?.
nauliza tu.
shikoo wakubwa napita hapa salama Jr
mbona mnachachua jina la mtoa mada?
Chupi 10!? Kwani kufua nguo ya ndani kuna ugumu gani jamani! Kama mtu anatabia ya usafi, kwa maoni yangu chupi 3-4 zinatosha!..Mwanaume msafi walau unatakiwa kuwa na ch*pi au boxa kuanzia kumi (10) na singland vilevile! hii ni kwa maana kwamba kila unapooga basi unabadili...
Hahaa, Mkuu jina lina uhusiano wa karibu sana na mmiliki (yale majina yenye maana) ''we are products of what we think and say/proffess''