Wanaume type hii nijakamoyo walahiiiiiiiiiiiiiii.

Wanaume type hii nijakamoyo walahiiiiiiiiiiiiiii.

Miye nimesema am in favor ya full package .i.e looks and brains among other qualities!!

Tuchukue case ambayo kuna watu wawili duniani, wana quarter less package, mmoja anamiss looks; mwingine anamiss brains and you must pick one utapick yupi?
 
Ciello bhana!
Sijui haya maigizo utamaliza lini?
 
Last edited by a moderator:
Very nice thread..big up guys!
Ila kibongo bongo 'handsome' guys wa kuhesabu sana...bahati mbaya pia wenye 'mijihela wachache'
Wengi ni 'hybrid' ya 'good looking+vijihela vya kusukuma maisha+ujanja wa mjini' tu.........
Ukichukulia 'Marekani' au 'Ulaya' kama Cases of study...obviously utaishia kujidanganya tu..
Binafsi, nilikuwa natamani nimuoe mdada kama 'Jeniffer Lopez'...my foot!..
Nilijikuta simuoni hata wa kumlinganisha naye..achilia mbali hata walipopatikana..'tayari walishajitambua'.kwa sabau ni wachache...imagine competition yake sasa??......Ila ukiiishi Marekani..hahahah..they are so many Beyonces and even better than Beyonce....
 
hahahah najua kwann umeuilza hivyo...uanataka kuprove alosema EMT.....ningekuwa kwenye case ka hiyo ningejua nipick yupi kulingana na mazingira...
Tuchukue case ambayo kuna watu wawili duniani, wana quarter less package, mmoja anamiss looks; mwingine anamiss brains and you must pick one utapick yupi?
 
Last edited by a moderator:
hahahah najua kwann umeuilza hivyo...uanataka kuprove alosema EMT.....ningekuwa kwenye case ka hiyo ningejua nipick yupi kulingana na mazingira...

Nami ninamjua ambaye ungempick.... LOL
 
Last edited by a moderator:
duh,ndio maana waife alikubali nim-merry nini?cheki mwenyewe avata hapoa juu,lol!!ila pia vise vesa is truu
 
Hii inakingana na ile thread yako ya kuwa mwanaume ni pesa.

Inakingana nini sasa? Kuwa na pesa kwa maana yangu ni kuwa nazo na kuweza kuzalisha zaidi na zaidi! Ila sio kuwa na kajifunu sehemu unakala hadi kaishe afu useme una pesa! Kuwa na pesa inainclude kuwa nazo leo na in the forseeable future!
 
Hahahahahahahahaha
yani Ciello unanishangaza kushindwa kujua kuwa unapenda maigizo wakati kila leo unaigiza!

Kweli kumchunguza binadamu ni kazi sana!

Binadamu akijua unataka kumjua ana badilika haraka ili usimjue.

Huu ni msimamo wa watu..................,wa kwako si uoni wazi japo umejaribu kuuficha lakini mtu akiwa makini ana ujua. Kwenye maandishi hasa mwishoni umeibua msimamo mwingine ili kuficha wako!

Nkugambile?
hahahah loya alokwambia naigiza nani???
 
Last edited by a moderator:
Very nice thread..big up guys!
Ila kibongo bongo 'handsome' guys wa kuhesabu sana...bahati mbaya pia wenye 'mijihela wachache'
Wengi ni 'hybrid' ya 'good looking+vijihela vya kusukuma maisha+ujanja wa mjini' tu.........
Ukichukulia 'Marekani' au 'Ulaya' kama Cases of study...obviously utaishia kujidanganya tu..
Binafsi, nilikuwa natamani nimuoe mdada kama 'Jeniffer Lopez'...my foot!..
Nilijikuta simuoni hata wa kumlinganisha naye..achilia mbali hata walipopatikana..'tayari walishajitambua'.kwa sabau ni wachache...imagine competition yake sasa??......Ila ukiiishi Marekani..hahahah..they are so many Beyonces and even better than Beyonce....

Ndo tatizo la kulowea nchi za watu! Hivi unadhani Bongo ya leo ni ya 1990s? Bongo kama ulaya siku hizi ukitembea! Ukiing bank tu watu goodlooking wakumwaga sanaaa! Sio bar! Sio hotel! Ila combination ya Goodlooking na Pesa i ngumu kweli kweli! Its hard but not Impossible!
 
gfsonwin unafikiri hata ni swala la age? Anyway maybe in a way. Lkn mimi naona zaidi ni swala la sifa (kwa watu wa nje). Ndio maana utetezi wao zaidi ni "utatembeaje naye barabarani". Ni kuishi kwa kuogopa mitazamo ya watu zaidi. Kwa TZ yetu, wanaojiita HB ni wachache say 20%, kina Ongala desgn ni say 12% the rest (78%) ni watu wa kawaida ambao sidhani kama utamficha ndani kama wanavyowaficha walemavu.

Halafu, Ciello pamoja na kuimba kuhusu looks lkn brains ni kitu kinachomvutia ndio maana EMT kamkomalia, wote wamekubali brains has to be in the package; hakuna atakaye last na A Dumb HB; so in a way Mvuto ni added advantage lkn kipaumbele ni brains!

Hahahaaaaaaaaaa! We want the best, we know what we want n we must get it! It might be hard but not impossible!!!! Mtaka cha uvunguni lazima ainame! Im ready to bend ila sio kusettle for less!!!!

Katika maisha THE BEST THINGS ARE FOR THE BEST WORRIORS!!!!!!!! Either ukaze au hupati kitu kabisaaa!
 
hahahahah The Boss bana huyo ni mfano tu...huoni alivyo kisu?? mwenyewe natamani hata ka 1nit stand naye....

Are u serious huyo wa kwny picha ni kisu? Aiseee, mi wa hivyo simuangalii hata mara 1 nzima, mara nusu tu! Hanivutii wala!
 
Last edited by a moderator:
Wanaume wa type hiyo +mama's boy kimbia ufe bora karoti walahi Ciello shost mbona hukuntag mwenzio?
 
Last edited by a moderator:
tuchukue case ambayo kuna watu wawili duniani, wana quarter less package, mmoja anamiss looks; mwingine anamiss brains and you must pick one utapick yupi?
hahahahah so challenge Ciello atajibebea bora upstair yuko fit ila kwa anayemis brain tutamuokota asubuhi kafa hahahahah
 
Last edited by a moderator:
Haya maisha ya kuigiza ni hatari sana kwa kizazi hiki.
"
Ngoja tuendelee na maigizo halafu ikifika muda tutajifunza tena kwa lazima na kwa maumivu makubwa!
 
hahahahah Eiyer upo?? nimekumc.....
Haya maisha ya kuigiza ni hatari sana kwa kizazi hiki.
"
Ngoja tuendelee na maigizo halafu ikifika muda tutajifunza tena kwa lazima na kwa maumivu makubwa!
 
Last edited by a moderator:
shosti kutag watu lawama bana kila mtu anamchango wa muhimu humu jukwaani..so kwakutambua hilo huwa sitag mtu...ila next tym ntakustua....
Wanaume wa type hiyo +mama's boy kimbia ufe bora karoti walahi Ciello shost mbona hukuntag mwenzio?
 
nivea usiusemee moyo wangu ...alijisemea jide....hahahahah
hahahahah so challenge Ciello atajibebea bora upstair yuko fit ila kwa anayemis brain tutamuokota asubuhi kafa hahahahah
 
Last edited by a moderator:
hahahahah loyaaaa...so wanichunguza?? itakuwia vigumu kwani mie naapply dynamic motion....hii ni ishu ya kuwafungua macho mashost ktk choice zao kua kuna ishu nyingi za kuconsider...na kwann wasettle 4less while wezapata mafull package yalozagaa sokoni??
Hahahahahahahahaha
yani Ciello unanishangaza kushindwa kujua kuwa unapenda maigizo wakati kila leo unaigiza!

Kweli kumchunguza binadamu ni kazi sana!

Binadamu akijua unataka kumjua ana badilika haraka ili usimjue.

Huu ni msimamo wa watu..................,wa kwako si uoni wazi japo umejaribu kuuficha lakini mtu akiwa makini ana ujua. Kwenye maandishi hasa mwishoni umeibua msimamo mwingine ili kuficha wako!

Nkugambile?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom